Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,350
teheteeh naona toka ijumaa umeme haujakatika
Dar es salaam hii hii mkuu siku ya nne leo umeme upomkuu wapi huko mgao umeisha
Leo ni takribani siku ya nne sasa umeme haujakatika sasa najiuliza mgao umeisha au kuna jambo jingine.
Hahaha!! Mkuu umeniacha hoi, dah ngoja nile kobisi basi lolndugu mbona hivyo lakini.... we unataka hawa jamaaa wapite humu waone comment yako... watupige penati ya wiki nzima kwa kosa la kutokutoa taarifa za tatizo la kuwa na umeme 24 hrs kwa siku nne bila kukatika, na kushindwa kutoa taarifa kwao...
mambo mengine unakula KOBISI tu hakuna haja ya kusema...
Dah!!! Kumbe siko peke yanguteheteeh naona toka ijumaa umeme haujakatika
TANESCO wakiukata umeme leo nitajua kuna mmoja wao alipita hapa akaona hii threadKwetu pia tunao toka jumamosi... Leo pia tulikuwa twaulizana kulikoni?...
watanzani wamefikia kutia huruma mno.....
yaani mambo ya kawaida kama kutokatika kwa umeme ndio yamekuwa sio ya kawaida...
dah.......
Na wakiukata itakubidi uniazime lile jenereta lako, manake wewe utakuwa umesababisha!..TANESCO wakiukata umeme leo nitajua kuna mmoja wao alipita hapa akaona hii thread
Hahaha!!! NN hiyo ya DICOTA umenikumbusha watanzania jinsi walivyokuwa wanamsifia Kikwete nikasema mhhhhKumbe na wewe umegundua hilo eeeh?
Halafu kuna mijitu juzi juzi tu hapa ilikuwa inampigia makofi ya kinafikia Kikwete kwenye ule mkutano wa DICOTA.
Miafrika tunasikitisha.
Boss acha tu yaani kuna mambo ambayo yanaonekana kama vile sio haki yenu kuyapatawatanzani wamefikia kutia huruma mno.....
yaani mambo ya kawaida kama kutokatika kwa umeme ndio yamekuwa sio ya kawaida...
dah.......
Hahaha!! Acha hizo banaaNa wakiukata itakubidi uniazime lile jenereta lako, manake wewe utakuwa umesababisha!..
Haujaisha walikuwa wanataka muendelee kuona sakata la Igunga halafu mlijadili kwa mapana na marefu huku wao wakiendelea kula raha ndio nchi yetu na ccm yake.Leo ni takribani siku ya nne sasa umeme haujakatika sasa najiuliza mgao umeisha au kuna jambo jingine.
Hahaha!!! Ngongo banaa kutakuwa kuna kitu eheee si kawaida kabisa mkuu unaenda kulipia DSTV halafu wanaukataDuh hatari kubwa tangu Jmosi umeme haujakatika nikajiuliza labda kuna mkubwa kaja Arusha ngoja nikalipie DStv.
Hahaha!!! Ngongo banaa kutakuwa kuna kitu eheee si kawaida kabisa mkuu unaenda kulipia DSTV halafu wanaukata
Naona wana gesi ya kutoshaNasikia Mtwara hawajui mambo ya mgao wa umeme!