Je, Mgao wa umeme ndio umeisha?

Ile hali/tatizo ya kukatikakatika kwa umeme hapa dar es salaam eneo ninaloishi limeisha kabisa.hii ni siku ya nane umeme wa Tanesco kwenye gridi ya taifa haujakatika.nakushukuruni tanesco kwa kusikia kilio chetu.Mungu awabariki sana.mia
 
Is this Breaking News? What special with Tanesco?
Lengo lao limekamilika la kuagiza mitambo na kula 10% na kufidia deficit kwenye budget
 
Ile hali/tatizo ya kukatikakatika kwa umeme hapa dar es salaam eneo ninaloishi limeisha kabisa.hii ni siku ya nane umeme wa Tanesco kwenye gridi ya taifa haujakatika.nakushukuruni tanesco kwa kusikia kilio chetu.Mungu awabariki sana.mia

Nawe usiwe mwepesi wa kushukuru, tafakari zaidi. sehemu nyingi umeme haukatiki sasa. lakini ujue kwa tanzania hapo ufisadi unajengewa justification , kwani kimefanyika nini mpaka umeme uwe na smooth flow!!!
 
Hawakawii kuanza ungese wao hawa watu,ila kuna maeneo mengine wanakatiwa tu sijui sababu gani ila kweli mgao umepungua siku ya 3 uku kwetu twala bata
 
na huyu jamaa mwenye kazi ya kukata umeme sura yake sijui itakuwa inafananaje? kama sio pangalashaba bas comred kipepe.manake muda wa kukata hapitish hata dk 1 ila kurudisha.... balaa! akirudisha mapema mjue mtajuta, manake ataukata kata kama mara 10 ktk usiku mmoja
 
Back
Top Bottom