live on
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 792
- 1,268
Hi nchi ina vituko sana ina maana Tanesco wanamuogopa Makonda kuliko Rais makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Naibu Waziri Mkuu, Waziri wa Nishati na wananchi.
Maana Baada ya mvua kunyesha na mgao kuendelea wananchi walipiga sana kelele na kuinyoshea vidole serikali kutaka kujua kwanini mgao wa umeme bado upo lakini Tanesco hawakushituka Ina maana wanajua kabisa viongozi wakuu wa hii nchi wanawamudu.
Ila Baada ya Makonda kuwanyoshea vidole mgao umeisha.
Hi ni dharau Kwa serikali nakushauri Rais timua vigogo wote wa Tanesco.