PreGE2025 Je, Mbowe kuchagua Heshima au Tamaa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
16,818
Reaction score
62,031
Mwalimu Nyerere aliwahi kumwambia Mzee Yusuf Makamba kuwa achague moja, Heshima au Tamaa maana hivyo vitu viwili havikai nyumba moja.

Sasa hii critical moment iko kwa Freeman Mbowe leo, mtu ambaye ana heshima kubwa nchini kama mtu aliyepigania mageuzi, aliyeongoza harakati za kisiasa za kukuza upinzani nchini.

Leo tunaambiwa kuwa yeye ndiye kiongozi anayeogoza genge la kukihujumu chama chake cha CHADEMA, Chama alichokijenga kwa jasho kubwa. Hii hali siyo kwamba inasikitisha na kuhuzunisha lakini kwa kiwango kikubwa inamharibia sifa na Legacy yake.
Pengine nitumie fursa hii kumueleza Mbowe mambo yafuatayo:

1. Je anachagua kuua mtoto wake mwenyewe (CHADEMA) ili kufuata masharti ya mganga (CCM)?

Kama nilivyoeleza, CHADEMA ina jasho jingi tu la Mbowe, itakuwa ni ajabu Mbowe kula njama za kuitoa kafara CHADEMA kwa ajili ya kupata utajiri wa kafara. Kwa kweli Jamii ya Watanzania itahuzunishwa, itachukizwa na kwa kweli itamuondolea heshima kubwa aliyojijengea kwa maka zaidi ya 30 kwenye medani ya siasa za mabadiliko nchini. Move ya kuiua CHADEMA itahesabika kama tamaa na ubinafsi uliopitiliza na kwa kweli Mbowe hatopata heshima kwa kula njama za kuia CHADEMA.

2. Iwapo Mbowe atashiriki kuiua CHADEMA ni kweli atapata fedha lakini atakuwa amewadhulumu watanzania kwa kiwango kikubwa sana.

Nimjulishe tu Mbowe kuwa kujaribu kuidhoofisha CHADEMA kweli kunaweza kumpa yeye pesa , lakini ajue tu kuwa pesa hizo kimsingi zitatokana na pesa zilizokwapuliwa na mafisadi kutoka kwa Watanzania, ama kupitia kodi zao, au kutokana na hongo mafisadi waliyopata kutokana na wao kuuza rasilimali za nchi yetu kwa mikataba ya kilaghai (kama kuuza bandari zetu kwa mikataba mibovu). Hiyo itakuwa ni dhambi kubwa na kwa kweli Mbowe atajibu mbele ya Mwenyezi Mungu kwa ulaghai na kushiriki kuwahujumu Watanzania kwa maslahi binafsi.

3. Mbowe akumbuke tu watu waliomwaga damu zao kwa ajili ya Mabadiliko na CHADEMA. Je yuko tayari kuwasaliti wote hawa kwa ajili ya vipande 30 vya fedha za mafisadi?

Kuna watu wamemwaga damu zaokwa ajili ya mabadiliko nchini hususana kwa ajili ya ustawi wa CHADEMA. Orodha ni ndefu, lakini hebu twambie, Mbowe atamueleza nini Alphonse Mawazo, Elias Michael, Ben Saanane, Deusdedith Soka, Mzee Ali Kibao, Mdude Nyagali na wengine wengi tu waliotekwa na kupotezwa kwa kudai haki na mabadiliko ya kweli nchini wakiwa ni wanachamama wa CHADEMA, iwapo Mbowe atakuwa msitari wa mbele kukisaliti chama chake yeye mwenyewe?.

4. Mbowe ajue tu kuwa Wachumia tumbo waliokuwa wanakula kwa mgongo wake bado wanataka kumtumia ili waendelee kula kupitia yeye, astuke!.

Wachumia tumbo wote aliowapa vyeo ndani ya sekretariat ya CHADEMA, waliowekwa pembeni na uongozi mpya, njaa zao zimeanza kuchachamaa zaidi. Walizoea pesa laini laini za kujichotea ndani ya chama, na kwa kuwa Mbowe hakuwa mkali juu yao, au aliwakingia kifua basi leo dili zimekata na hivyo wanatafuuta namna nyingine ya kupata hela rahisi. Hivyo wachumia tumbo hawa bado wanataka kumtumia Mbowe, wanajaribu kutumia star power yake ili iwe kama ngazi ya kuendelea kula pesa za CCM. Mbowe inabidi astuke, asitumike kama nyavu ya kuwavulia hawa wachumia tumbo samaki za kushibisha matumbo yao.

5. Mbowe afahamu tu kuwa, dignity is better than silver and gold.
Mwalimu Nyerere laiti angetaka kuendelea kutawala hadi kufia madarakani angeweza, kama angetaka ubilionea angeweza, lakini alichagua dignity, maana dignity ni bora kuliko vipande vya fedha. Je Mbowe anadhani hana role ya kuplay ktk nchi hii mpaka awe katika nafasi za uongozi au cheo?, la hasha, huyu ni mtu mwenye uzoefu mkubwa na heshima kubwa mbele ya umma, sasa kwa nini ashawishiwe au kushawishika kuiharibu dignity yake kwa sababu ya maslahi binafsi?

6. Kabla Mbowe hajawaza kuisaliti CHADEMA akumbuke tu ni nani alimuweka jela, je ni wanachadema au CCM?
Hii kitu ndugu Mbowe lazima ajitafakari sana. Je ni nani alimpa heshima kwa miaka zaidi ya 30, Je ni wanaCCM au wanaCHADEMA?. Je ni nani alimpigania kila kukicha kwenye kupaza sauti ili atoke jela, je ni CCM au ni CHADEMA?. Sasa inakuwaje leo anataka kuiumiza CHADEMA na kuipa unafuu wa kisiasa CCM?.

MWISHO:
Mimi nataka nimkumbushe tu ndugu Mbowe kuwa , Mwenyezi Mungu kupitia vitabu vitakatifu ameonya vikali kuhusu usaliti, hongo, hila na hali ya kurudi nyuma katika mapambano ya kuodoa udhalimu. Amana ambayo Watanzania wameiweka kwa Mbowe kwa miaka 30 ni kubwa sana, Mwenyezi Mungu amelishuhudia hili. Kushiriki au kula njama kuidhoofisha CHADEMA ni kuvunja amana na Mwenyezi Mungu ndiye Mlipaji,
Ndugu Mbowe kama una nia au lengo la kuweka maslahi yako binafsi juu ya taasisi ya CHADEMA kwa kufanya kitendo chochote kitakachokwamisha chama hicho basi Mwenyezi Mungu atakuhukumu kwa hukumu stahiki. Maana wanaCHADEMA walikupa imani na amana, tafadhali lifahamu hilo!
 
huu ni ujinga kumlaumu mbowe kwenye kila angle bila kua na ushahidi

mbowe alikua mwenyekiti baada
uchaguzi akashindwa akakaa pembeni

lakini watu wanambebesha lawama.

uhalisia ni kwamba hata kama mbowe angekua mstari wa mbele bado wangemsakama kwa kusema bado anatawala chama .
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kumwambia Mzee Yusuf Makamba kuwa achague moja, Heshima au Tamaa maana hivyo vitu viwili havikai nyumba moja.

Sasa hii critical moment iko kwa Freeman Mbowe leo, mtu ambaye ana heshima kubwa nchini kama mtu aliyepigania mageuzi, aliyeongoza harakati za kisiasa za kukuza upinzani nchini.

Leo tunaambiwa kuwa yeye ndiye kiongozi anayeogoza genge la kukihujumu chama chake cha CHADEMA, Chama alichokijenga kwa jasho kubwa. Hii hali siyo kwamba inasikitisha na kuhuzunisha lakini kwa kiwango kikubwa inamharibia sifa na Legacy yake.
Pengine nitumie fursa hii kumueleza Mbowe mambo yafuatayo:

1. Je anachagua kuua mtoto wake mwenyewe (CHADEMA) ili kufuata masharti ya mganga (CCM)?

Kama nilivyoeleza, CHADEMA ina jasho jingi tu la Mbowe, itakuwa ni ajabu Mbowe kula njama za kuitoa kafara CHADEMA kwa ajili ya kupata utajiri wa kafara. Kwa kweli Jamii ya Watanzania itahuzunishwa, itachukizwa na kwa kweli itamuondolea heshima kubwa aliyojijengea kwa maka zaidi ya 30 kwenye medani ya siasa za mabadiliko nchini. Move ya kuia CHADEMA itahesabika kama tamaa na ubinafsi uliopitiliza na kwa kweli Mbowe hatopata heshima kwa kula njama za kuia CHADEMA.

2. Iwapo Mbowe atashiriki kuia CHADEMA ni kweli atapata fedha lakini atakuwa amewadhulumu watanzania kwa kiwango kikubwa sana.

Nimjulishe tu Mbowe kuwa kujaribu kuidhoofisha CHADEMA kweli kunaweza kumpa yeye pesa , lakini ajue tu kuwa pesa hizo kimsingi zitatokana na pesa zilizokwapuliwa na mafisadi kutoka kwa Watanzania, ama kupitia kodi zao, au kutokana na hongo mafisadi waliyopata kutokana na wao kuuza rasilimali za nchi yetu kwa mikataba ya kilaghai (kama kuuza bandari zetu kwa mikataba mibovu). Hiyo itakuwa ni dhambi kubwa na kwa kweli Mbowe atajibu mbele ya Mwenyezi Mungu kwa ulaghai na kushiriki kuwahujumu kwa maslahi binafsi.

3. Mbowe akumbuke tu watu waliomwaga damu zao kwa ajili ya Mabadiliko na CHADEMA. Je yuko tayari kuwasaliti wote hawa kwa ajili ya vipande 30 vya fedha za mafisadi?

Kuna watu wamemwaga damu zaokwa ajili ya mabadiliko nchini hususana kwa ajili ya ustawi wa CHADEMA. Orodha ni ndefu, lakini hebu twambie, Mbowe atamueleza nini Alphonse Mawazo, Elias Michael, Ben Saanane, Deusdedith Soka, Mzee Ali Kibao, Mdude Nyagali na wengine wengi tu waliotekwa na kupotezwa kwa kudai hakina mabadiliko ya kweli nchini wakiwa ni wanachamama wa CHADEMA, iwapo Mbowe atakuwa msitari wa mbele kukisaliti chama chake yeye mwenyewe?

4. Mbowe ajue tu kuwa Wachumia tumbo waliokuwa wanakula kwa mgongo wake bado wanataka kumtumia ili waendelee kula kupitia yeye, astuke!.

Wachumia tumbo wote aliowapa vyeo ndani ya sekretariat ya CHADEMA, waliowekwa pembeni na uongozi mpya, njaa zao zimeanza kuchachamaa zaidi. Walizoea pesa laini laini za kujichotea ndani ya chama, na kwa kuwa Mbowe hakuwa mkali juu yao, au aliwakingia kifua basi leo dili zimekata na hivyo wanatafuuta namna nyingine ya kupata hela rahisi. Hivyo wachumia tumbo hawa bado wanataka kumtumia Mbowe, wanajaribu kutumia star power yake ili iwe kama ngazi ya kuendelea kula pesa za CCM. Mbowe inabidi astuke, asitumike kama nyavu ya kuwavulia hawa wachumia tumbo samaki za kushibisha matumbo yao.

5. Mbowe afahamu tu kuwa, dignity is better than silver and gold.
Mwalimu Nyerere laiti angetaka kuendelea kutawala hadi kufia madarakani angeweza, kama angetaka ubilionea angeweza, lakini alichagua dignity, maana dignity ni bora kuliko vipande vya fedha. Je Mbowe anadhani hana role ya kuplay ktk nchi hii mpaka awe katika nafasi za uongozi au cheo?, la hasha, huyuni mtu mwenye uzoefu mkubwa na heshima kubwa mbele ya umma, sasa kwa nini ashawishiwe au kushawishika kuiharibu dignity yake kwa sababu ya maslahi binafsi?

6. Kabla Mbowe hajawaza kuisaliti CHADEMA akumbuke tu ni nani alimuweka jela, je ni wanachadema au CCM?
Hii kitu ndugu Mbowe lazima ajitafakari sana. Je ni nani alimpa heshima kwa miaka zaidi ya 30, Je ni wanaCCM au wanaCHADEMA?. Je ni nani alimpigania kila kukicha kwenye kupaza sauti ili atoke jela, je ni CCM auni CHADEMA?. Sasa inakuwaje leo anataka kuiumiza CHADEMA na kuipa unafuu wa kisiasa CCM?.

MWISHO:
Mimi nataka nimkumbushe tu ndugu Mbowe kuwa , Mwenyezi Mungu kupitia vitabu vitakatifu ameonya vikali kuhusu usaliti, hongo, hila na hali ya kurudi nyuma katika mapambano ya kuodoa udhalimu. Amana ambayo Watanzania wameiweka kwa Mbowe kwa miaka 30 ni kubwa sana, Mwenyezi Mungu amelishuhudia hili. Kushiriki au kula njama kuidhoofisha CHADEMA ni kuvunja amana na Mwenyezi Mungu ndiye Mlipaji,
Ndugu Mbowe kama una nia au lengo la kuweka maslahi yako binafsi juu ya taasisi ya CHADEMA kwa kufanya kitendo chochote kitakachokwamisha chama hicho basi Mwenyezi Mungu atakuhukumu kwa hukumu stahiki. Maana wanaCHADEMA walikupa imani na amana, tafadhali lifahamu hilo!

Je, unawajua Mercenaries?

Wao wanachojali ni fedha tu, regardless kiwango Cha gharama na maafa ambayo Watu wengine watapata.
 
huu ni ujinga kumlaumu mbowe kwenye kila angle bila kua na ushahidi

mbowe alikua mwenyekiti baada
uchaguzi akashindwa akakaa pembeni

lakini watu wanambebesha lawama.

uhalisia ni kwamba hata kama mbowe angekua mstari wa mbele bado wangemsakama kwa kusema bado anatawala chama .
Hii hoja ya kusema Mbowe analaumiwa inatokana na nini? Ukishakuwa "public Figure" watu kutoa maoni kukuhusu ni jambo la kawaida!
 
Mtu uangukiapo ndipo huko huko utalala, hawezi chagua tamaa Leo, atakuwa alishachagua ila alikuwa anatutapeli
 
huu ni ujinga kumlaumu mbowe kwenye kila angle bila kua na ushahidi

mbowe alikua mwenyekiti baada
uchaguzi akashindwa akakaa pembeni

lakini watu wanambebesha lawama.

uhalisia ni kwamba hata kama mbowe angekua mstari wa mbele bado wangemsakama kwa kusema bado anatawala chama .
Katika kipindi cha mpito Mbowe alipaswa amsaidie Lissu kuwaonyesha wananchi kuwa kukubali matokeo ilitokana na sauti ya wanachadema yeye alikuwa na fursa ya kuongoza miaka 20 ilitosha kabisa. Chadema ni chama ca wananchi siyo mtu biafsi.
 
Walimkataa hadharani kwa kejeli na shutma kibao kuwa ni chawa wa Samia n.k. Sasa kwa nini wanahofia kuondoka kwake? Hakuna hata kiongozi mmoja aliyemuomba radhi kwa character assassination ambayo wafuasi wao walimfanyia.
Legacy ya Mbowe haitaathirika kwa uamuzi wowote atakao chukua. FAFO. Sasa mpo kwenye FO stage. Na bado.

Amandla...
 
Mbowe hajaifanyia Chadema chochote cha maana
 
Katika kipindi cha mpito Mbowe alipaswa amsaidie Lissu kuwaonyesha wananchi kuwa kukubali matokeo ilitokana na sauti ya wanachadema yeye alikuwa na fursa ya kuongoza miaka 20 ilitosha kabisa. Chadema ni chama ca wananchi siyo mtu biafsi.
Sasa kama Lissu hakutaka ushauri wake? Mbowe kaenda kumtembelea gerezani, alipotoka tuu Lissu anatoa tamko kuwa hataki mambo ya giza. Mtu yeyote mwenye uelewa atajua kuwa alikuwa anamaanisha Mbowe alitaka kumpeleka gizani! Atashirikiana vipi na watu wa aina hiyo?

Amandla...
 
6. Kabla Mbowe hajawaza kuisaliti CHADEMA akumbuke tu ni nani alimuweka jela, je ni wanachadema au CCM?
Hii kitu ndugu Mbowe lazima ajitafakari sana. Je ni nani alimpa heshima kwa miaka zaidi ya 30, Je ni wanaCCM au wanaCHADEMA?. Je ni nani alimpigania kila kukicha kwenye kupaza sauti ili atoke jela, je ni CCM auni CHADEMA?. Sasa inakuwaje leo anataka kuiumiza CHADEMA na kuipa unafuu wa kisiasa CCM?.
Huenda lilikuwa igizo
 
Chama kijengwe, ikishindikana aliyeshindwa ni mwenyekiti sio anayekihujumu. Mbowe mwenyewe alipigana na hujuma, sidhani kama ilikuwa rahisi kukiongoza Chadema kwa miaka aliyokiongoza. Mambo ya sababu ni yule hayana mashiko, kama Chama kikiimarika sifa ni kwa mwenyekiti vile vile kikianguka lawama ni zake.
 
Walimkataa hadharani kwa kejeli na shutma kibao kuwa ni chawa wa Samia n.k. Sasa kwa nini wanahofia kuondoka kwake? Hakuna hata kiongozi mmoja aliyemuomba radhi kwa character assassination ambayo wafuasi wao walimfanyia.
Legacy ya Mbowe haitaathirika kwa uamuzi wowote atakao chukua. FAFO. Sasa mpo kwenye FO stage. Na bado.

Amandla...
Wanachadema walisimama na Mbowe kwenye ishu nyingi tu kwa mfano, ugomvi wake na Chacha Wangwe, Ugomvi wake na akina Zitto, alipokuwa Jela kwa kesi ya ugaaidi na mambo kedekede. Sasa leo Wanachadema walewale kutaka mabadiliko katika chama kwa kumuweka pembeni isiwe sababu ya chuki kwao.
 
Back
Top Bottom