PreGE2025 Je, Mbowe anatumika ama anatumiwa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mbowe si muongeaji sana ni mkimya na mtulivu sana! Huwa hapendi kuongea mwanzoni, hupenda kuongea mwishoni na kufunga mjadala.

Ni jambo zuri lakini kuna baadhi ya mazingira hupaswi kukaa kimya muda mrefu sana.

Mwenyekiti huyu mstaafu wa CHADEMA kahusishwa mara nyingi sana na CHAUMMA, chama kilichopokea wale waliokimbia CHADEMA lakini amekuwa kimya kabisa mpaka sasa.

Sasa wahuni waliojitoa CHADEMA wamelitumia jina lake vibaya kuwakusanya viongozi wa mikoani ili akidi itimie wafanye justification ya upigaji.

Baadhi ya viongozi hao wamechukizwa na usanii waliofanyiwa na wameamua kufunguka waziwazi.
Wamemfanya
1748016014226.jpeg
 
Ya Mbowe tumuachie Mbowe mwenyewe Sisi tudeal na NO REFORMS NO ELECTION. Hili ndio hitaji la kitaifa kwa nyakati hizi.
 
Mbowe si muongeaji sana ni mkimya na mtulivu sana! Huwa hapendi kuongea mwanzoni, hupenda kuongea mwishoni na kufunga mjadala.

Ni jambo zuri lakini kuna baadhi ya mazingira hupaswi kukaa kimya muda mrefu sana.

Mwenyekiti huyu mstaafu wa CHADEMA kahusishwa mara nyingi sana na CHAUMMA, chama kilichopokea wale waliokimbia CHADEMA lakini amekuwa kimya kabisa mpaka sasa.

Sasa wahuni waliojitoa CHADEMA wamelitumia jina lake vibaya kuwakusanya viongozi wa mikoani ili akidi itimie wafanye justification ya upigaji.

Baadhi ya viongozi hao wamechukizwa na usanii waliofanyiwa na wameamua kufunguka waziwazi.
Leo utaandika sana
 
Katika mambo ambayo Mbowe anajutia kwenye maisha yake ni uamuzi wa kugombea tena uenyekiti katika uchaguzi uliofanyika 21 January 2025. Angesimama na msimamo wake wa 2019 kuwa ile ilikuwa mara yake ya mwisho kugombea haya yote yasingetokea. Kugombea kwake kulikipasua chama,anajuta kumjua Samia maana yeye ndiye alimghilibu kwa offer yake ya nusu mkate.
 
Acheni kumuonea aibu huyo tapeli la kisiasa Mbowe!!, Mbowe ndio anahusila na uratibu wa yote yanayoendelea kufitinisha ndani ya chadema!. Mbowe hakuwa na maslah ya raia kbali maslah yake binafs na kikundi chake, Mbowe anapaswa kuzomewa kila anakopita....
 
20250523_170102.jpg
 
Mbowe si muongeaji sana ni mkimya na mtulivu sana! Huwa hapendi kuongea mwanzoni, hupenda kuongea mwishoni na kufunga mjadala.

Ni jambo zuri lakini kuna baadhi ya mazingira hupaswi kukaa kimya muda mrefu sana.

Mwenyekiti huyu mstaafu wa CHADEMA kahusishwa mara nyingi sana na CHAUMMA, chama kilichopokea wale waliokimbia CHADEMA lakini amekuwa kimya kabisa mpaka sasa.

Sasa wahuni waliojitoa CHADEMA wamelitumia jina lake vibaya kuwakusanya viongozi wa mikoani ili akidi itimie wafanye justification ya upigaji.

Baadhi ya viongozi hao wamechukizwa na usanii waliofanyiwa na wameamua kufunguka waziwazi.

View: https://web.facebook.com/reel/722968046752985
 
Mbowe ni mpuuzi tu ...nashangaa watu kupoteza muda wenu kwa huyo kiumbe kibovu...tofauti ya mbowe na samia ni jinsia tu.
 
Mbowe si muongeaji sana ni mkimya na mtulivu sana! Huwa hapendi kuongea mwanzoni, hupenda kuongea mwishoni na kufunga mjadala.

Ni jambo zuri lakini kuna baadhi ya mazingira hupaswi kukaa kimya muda mrefu sana.

Mwenyekiti huyu mstaafu wa CHADEMA kahusishwa mara nyingi sana na CHAUMMA, chama kilichopokea wale waliokimbia CHADEMA lakini amekuwa kimya kabisa mpaka sasa.

Sasa wahuni waliojitoa CHADEMA wamelitumia jina lake vibaya kuwakusanya viongozi wa mikoani ili akidi itimie wafanye justification ya upigaji.

Baadhi ya viongozi hao wamechukizwa na usanii waliofanyiwa na wameamua kufunguka waziwazi.
Mbowe amepewa kazi ya kuwashawishi hao mbuzi wote na ameambiwa asionekane popote.
 
Back
Top Bottom