Je, Matumizi ya Muda Mrefu ya Dawa za Amoeba Yanapunguza Nguvu za Kiume?

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
Wandugu,
Kwa miezi takribani mitatu mfululizo nimekuwa nakunywa dawa aina mbalinbali za amoeba bila mafanikio ya kupona. Ni hivi karibuni tu nimekunywa dawa aina fulani dozi mbili na kufanikiwa kupona. Pamoja na mafanikio hayo, nimegundua uwezo wangu wa kiume umepungua sana. Sasa hivi nina zaidi ya mwezi mzima 'mzee' hasimami na hata akisimama ni muda mfupi sana analala tena kiasi cha kushindwa kupanda mlima. Nimejaribu mara kadhaa kuvuta hisia lakini mzee anashtuka tu na kuendelwa kulala.

Nachotaka kujua ni je, hali hii ni ya kawaida na hasa baada ya matumizi ya dawa kali? Kama ni ya kawaida, nitarajie kurudi katika hali yangu ya awali baada ya muda gani? Je, kuna uwezekano wa ku-speed up recovery kwa maana ya kunywa dawa fulani? Tafadhali madaktari naomba mnijuze.
 
wee naye kwa kuendekeza ngono...

Sasa unataka isimame kwa nguvu zipi..unywe midonge yako miezi mi3 kisha mzee asimame ndani ya mwezi..acha hizo wewee...kula vizuri rejesha nguvu then mzee atasimama tuu.

Pia punguza mawazo na boresha uchumi wako maana utakuta unadaiwa aghakhan milioni 12m then unataka isimame ili iweje.

Na inasimama una demu mkali wa kukuamsha hisia au ndio hao wa kuokota?...

sorry kama nimekukwaza but nimetuma msg kwa njia ya jokes na dharau kidogo..nothing personal man.
 
Back
Top Bottom