Je, Marekani huwa wanafanya zoezi la sensa?

Je, Marekani huwa wanafanya zoezi la sensa?

Nchi zilizoendelea hawahitaji kufanya sensa. Mifumo Yao ipo vizuri kwani Kila tukio muhimu hurekodiwa na kutunzwa kwenye banki ya takwimu... Matukio hayo ni kama uzao, vifo, uhamiaji, ajira, makazi, nk. Sensa ni kwa mataifa ambayo mifumo hiyo ni duni.
Sure, nimepta kitu
 
Ipo lakini sio kama hii ya kuhesabiana kama machungwa
Nchi zilizoendelea ni sensa ya kielectronikali sio watu kuja nyumbani kuuliza maswali ya mambo yasiyowahusu
Leo wamegundua siku moja haitoshi
Nchi ina watawala wa ovyo
Tunajua hili limewekwa kwa ajili ya kuomba pesa kwa wafadhili baadae wazidi kununua v8ssss
 
Maswali ya wana JF wengine yanaitia aibu JF.

Pesa zenyewe za sensa mmepewa msaada unasema wanafuja pesa za wananchi, pesa gani?

Ushasema USA ni first world country, unataka njia za US zitumike kuhesabia watu bongo? Ni ujinga kufananisha US na TZ, mazingira, teknolojia na literacy level ni tofauti kabisa baina ya hizi nchi mbili.
Punguza jaziba..ata kama izo pesa ni za msaada zingeelekezwa kwenye miradi ya kijamii
 
Ipo lakini sio kama hii ya kuhesabiana kama machungwa
Nchi zilizoendelea ni sensa ya kielectronikali sio watu kuja nyumbani kuuliza maswali ya mambo yasiyowahusu
Leo wamegundua siku moja haitoshi
Nchi ina watawala wa ovyo
Tunajua hili limewekwa kwa ajili ya kuomba pesa kwa wafadhili baadae wazidi kununua v8ssss
[emoji106]
 
Elimu yako Mkuu?

Kwa haraka zipo njia kadhaa za kukusanya taarifa za idadi ya watu(population Data) Kama vile;

1. The Census ·
2. Vital Statistics ·
3. Demographic Sample Surveys
4. Population Registers

Kwa nchi Masikini na zenye tekonolojia Duni Sensa ndio njia sahihi zaidi.
Tulia nyumbàni uhesabiwe Kama kuku
Shit!!
 
Habarini wakuu..
Kama title inavyojieleza JE ni kweli hata first world country kama America, Russia na hata mataifa mengine kunakuga na sensa ya watu na makazi au ni hii miyeyusho ya hapa bongo pekee yake.

Kwa mtazamo wangu naona hili swala la sensa ni upotevu/ufujaji wa fedha za wananchi ambazo zingeweza kitumika kujenga mizahanati,kumalizia miradi ya maji ambayo ni uhai kwa wananchi..hivyo basi sio manufaa ya zoezi la sensa.


Pia nakosoa teknologia inayotumika ni kizamani mnoo..

Je hivi ata first world countries kunakuga sensa na kama zipo mbona sijawahi zisikia kabsa au ninyi wanajamii mnasemaje??

"Naomba kuwasilisha"
Tueke siasa kando unajia uchumi umeyumba..
Sensa ipo dunia nzima
Utofauti ni namna tu ya kuhesabu
Wenzetu anuani za makazi zipo vizuri hiyo kwa asilimia kubwa watu wanajulikana walipo Hivyo wanaweza kuambiwa kila mtu atume data zake/familia kwenye mtandao na akatuma. Watu kule wanajiweza na ni waelewa hivyo zoezi ni rahisi
 
Are sure hizi huduma zinafuata population data au political reasons? Nimeona hospitals Kubwa sana zibajengwa maeneo yenye population ndogo, nimeona mapendekezo ya kuunda mikoa mipya kwenye maeneo yenye population ndogo kuliko high density regions, uwanja mkubwa wa ndege unajengwa eneo lenye population ndogi.. .. Mifano ni mingi sana.. Siasa kwenye nchi hii imeharibu so many developments plans..
Inawezekana hata hawazipitiii hizi data, as long hela (500 billions) zimeshatumika badi
 
Sensa ipo dunia nzima
Utofauti ni namna tu ya kuhesabu
Wenzetu anuani za makazi zipo vizuri hiyo kwa asilimia kubwa watu wanajulikana walipo Hivyo wanaweza kuambiwa kila mtu atume data zake/familia kwenye mtandao na akatuma. Watu kule wanajiweza na ni waelewa hivyo zoezi ni rahisi
Umenena..thus why nimesema teknologia inayotumika apo bongo ni dunii mnoo
 
Pitia hii:
1. Decennial Census
2. Economic Census
3. Census of Governments

Decennial Census
Also known as the Population and Housing Census, the Decennial U.S. Census is designed to count every resident in the United States. It is mandated by Article I, Section 2 of the Constitution and takes place every 10 years. The data collected by the decennial census determine the number of seats each state has in the U.S. House of Representatives and is also used to distribute hundreds of billions of dollars in federal funds to local communities.

The census tells us who we are and where we are going as a nation, and helps our communities determine where to build everything from schools to supermarkets, and from homes to hospitals. It helps the government decide how to distribute funds and assistance to states and localities. It is also used to draw the lines of legislative districts and reapportion the seats each State holds in Congress.

Decennial Census of Population and Housing

The U.S. census counts every resident in the United States. It is mandated by Article I, Section 2 of the Constitution and takes place every 10 years.

Decennial Census of Population and Housing by Decades

Learn about all the decennials from 1790 to present. Find key population stats, data, questionnaires, maps, mapping files, technical documents, news and more.

Economic Census
The Economic Census is the U.S. Government's official five-year measure of American business and the economy for planning and key economic reports, and economic development and business decisions.

Data from the Economic Census is important for your industry, your community and your business.

Your trade association and chamber of commerce rely on information from the census for economic development and business decisions.
Government agencies, analysts and business organizations nationwide also rely on census information for planning and key economic reports.
Information provided by the Economic Census can also help you support decisions and planning for your own business.
Economic Census

The Economic Census provides detailed information on employer businesses, including detailed data by industry, geography, and more.

Economic Census by Year

Census of Governments
The Census of Governments occurs every five years since 1957, for years ending in "2" and "7." It identifies the scope and nature of the nation's state and local government sector; provides authoritative benchmark figures of public finance and public employment; classifies local government organizations, powers, and activities; and measures federal, state, and local fiscal relationships.

Two federal statistical agencies–the Bureau of Economic Analysis and the Federal Reserve Board–use the data to measure the nation's economic and financial performance. State and local governments use the data to develop programs and budgets, assess financial conditions, and perform comparative analyses.

In addition, analysts, economists, market specialists, and researchers need these data to measure the changing characteristics of the government sector of the economy and to conduct public policy research. Journalists report on, and teachers and students learn about, their governments' activities using our data. Internally, the Census Bureau uses these data as a benchmark for all our non-census year samples.
 
Watu wengi wenye uelewa mdogo wanapinga sensa lakini hawajui kama sensa sio Tanzania tu bali ni dunia nzima inataka kujua idadi ya watu duniani pia sensa ni kwa maendeleo ya jamii
Kwa kumsaidia ni kuwa UNFPA iliundwa ili kusaidia nchi zote ulimwenguni kufanya Sensa. Inatafuta resouces na utaalam. Marekani kuna Bureau of Census na hata hii ya kwetu wametusaidia utaalam wa vishikwambi
 
Sensa zipo kila sehemu let say kwa Tanzania kuna sehemu serikali haijui kabisa kama kuna makazi ya watu lakini kupitia sensa watajua makazi ya watu na watawapelekea huduma muhimu kama vile hsp shule miundombinu kwaiyo hii sensaya watu na makazi ni muhimu sana
Acha uongo
 
Punguza jaziba..ata kama izo pesa ni za msaada zingeelekezwa kwenye miradi ya kijamii

Pesa zinatolewa kwa lengo maalum, wahisani wakisema ni za sensa lazima ziende kwenye sensa vinginevyo wasingetoa.
 
Mtoa mada ana uwezo mdogo sana wa kufikiri na kufuatilia mambo. Hawa ndio wanajiona wajanja na wajuaji kwa sababu wanapinga kila kitu.
 
Back
Top Bottom