Je, Marekani huwa wanafanya zoezi la sensa?

Je, Marekani huwa wanafanya zoezi la sensa?

Npo marekani toka kitambo sana .......sensa kila nchi ipo ....thats y huko tz kwenu mlifundishwa kwenye somo la geography ( kama hukukimbia umande) ......

Sensa ni kwa mujibu wa sheria .....pia hata UN huzihitaji hizo data ili kujua world population
Naomba kuuliza mwaka gani sensa ilifanyika na wewe kuhesabiwa huko USA. Walitumia njia gani ya kuhesabu watu?.
 
Kuhisababu watu kwa njia hizi tunazofanya za Sensa ni mambo yaliyoshapitwa na wakati kabisa.
 
Habarini wakuu,

Kama title inavyojieleza. Je, ni kweli hata first world countries kama America, Russia na hata mataifa mengine huwa kunakuwa na sensa ya watu na makazi au ni hii miyeyusho ya hapa bongo pekee yake?

Kwa mtazamo wangu naona hili swala la sensa ni upotevu/ufujaji wa fedha za wananchi ambazo zingeweza kitumika kujenga zahanati, kumalizia miradi ya maji ambayo ni uhai kwa wananchi nk. Hivyo basi sioni manufaa ya zoezi la sensa.

Pia nakosoa teknologia inayotumika ni kizamani mnoo. Je, hivi ata first world countries kunakuga sensa na kama zipo mbona sijawahi zisikia kabsa au ninyi wanajamii mnasemaje??

"Naomba kuwasilisha", Tuweke siasa kando, unajua uchumi umeyumba.
Ndio. Tunahesabiwa huku mkuu pia

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom