Je, Marais/Ikulu zina walinzi wenye vipawa vya spiritual intelligence?

Enzi za awamu za mwanzoni nasikia ili uwe mlinzi ilikuwa lazima uage vizuri kwenu. Jk Nyerere mwenyewe alihutubia akahadithia alivyo wahi kuzikwa kaburini mzima mzima huko Bagamoyo. Kuna rais wa juzi kati hapa aliahidiwa kupewa ulinzi usio oneka na ustadhi sheikh flani hivi.
Emu funguka vizuri hiyo ya nyerere
 
Chochote unachokiona kwa macho ya kawaida kuna siri nyuma ya pazia, sema wengi huwa tunatazama na kuacha kama yalivyo coz hatupo much interested kutaka kujua kwann hiki, na kivipi inakuwa hiv, na hata wale wachache ambao hujaribu kufuatilia hukosa taharifa halisi na mwisho wa siku huwa tunaanza kujitengenezea hoja binafsi kulingana na mtazamo wetu.

Kiukweli kuna mengi katika hili coz chochote kile kinachofanyika ni siri ambayo hutunzwa na wahusika wenyewe na siyo rahisi kupata ule ukweli halali.

Mlinzi yeyote yule huwa na ujuzi kulingana na rank yake, huwezi kumtrain mlinzi wa kawaida kwa kumpatia mafunzo makali ya kijeshi, vivyohivyo anayelinda ikulu hawezi andaliwa kwa kufanya mazoezi ya mgambo,!!

So kila kitu kinafanyika kutegemeana na nature ya eneo!!
Mambo ya kiroho huwezi ya kwepa hata siku na moja mkuu, haya yapo, hushawahi sikia kuna mchawi kaingia akaiba mitihani necta, au kuiba pesa benki!! Hivyo ulinzi siyo tu ule wa kimwili wa kutumia mafunzo yanayotolewa jeshini mkuu kuna mengine behind the scene!!
 
nyooo eti mafunzo yanaanzia physical na talent..? wale ata kabla mtu hajajamba washajua........wamejikoki atari...ata risasi haziingii
 
Porojo!
 
We jamaa una akili kubwa

Walinzi wengi wanapata training za kijeshi kwanza ili waive, halafu baadaye "wanapikwa kiroho".

Hapo ndipo kuna michezo yote michafu ya kiroho ikiwemo wizi wa nyota, kivuli, kumchomoa mtu na kuweka kitu ingine ndani ili "aive kiroho"

Kwa hiyo si lazima awe na spiritual intelligence tangu kuzaliwa ila anaweza kupewa spiritual intelligence na wabobezi wa sarakasi za rohoni...

Ni kana ilivyo kwa utajiri, sio lazima uwe uwe na kipawa cha kuumbwa tajiri ili uwe tajiri, ila unaweza kujifunza maarifa ya kuwa tajiri halafu ukawafuata wazee wa sarakasi za rohoni "wakakusafishia njia zaidi"

Huko kwenye kitengo, kuna kitengo maalumu cha Kiroho.
Huo ndiyo ukweli wenyewe
 
Enzi za awamu za mwanzoni nasikia ili uwe mlinzi ilikuwa lazima uage vizuri kwenu. Jk Nyerere mwenyewe alihutubia akahadithia alivyo wahi kuzikwa kaburini mzima mzima huko Bagamoyo. Kuna rais wa juzi kati hapa aliahidiwa kupewa ulinzi usio oneka na ustadhi sheikh flani hivi.
Hii nyerere aliisema wazi na hata ktk hutuba zake akishawai kusema. Iwas informed kabla JK wa pili hajaanza kampeni za awamu ya ya kwanza kilifanyika kitu kwa jina la dua. Kwa stahili hii ya ulinzi wa kiroho. Alieshuhudia alisema aliyeimaliza hiyo inayoitwa Dua alisema kazi imeisha kwa maana ya ulinzi na hakutakuwa na cha kumdhuru
 
nyooo eti mafunzo yanaanzia physical na talent..? wale ata kabla mtu hajajamba washajua........wamejikoki atari...ata risasi haziingii
Hahaha ,mkuu unawadanganya watu
Walinzi wa rais ni binadamu kama sisi
Kuna rais wa marekani alitandikwa risasi miaka ya 80 au 90 mbele ya walinzi wake ,hiyo ni marekani
Watu wanaowadhuru marais huwa sio waoga,tena huwez mzania hata uwe mtaalamu kiasi gani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom