Je, Mange kachukua pesa za Samia?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,681
Reaction score
58,692
Nina wasiwasi na huyu mdada inawezekana kashachukua pesa

Analeta story za maandamano tarehe 25 yaani siku ya Christmas?

Serious? Yaani watu waache kusherekea sikukuu za mwisho wa mwaka wafungiwe Tena ndani?

Hapana me nakataa maandamano yaendelee kesho mpaka kueleweke
Na kila msaliti yeyote atakaye kula pesa umma kwa kuhongwa hazitapike au aende CCM tujue kwamba sio mwenzetu.

Watu wetu washakufa eti tuendelee kusubiri tarehe 25.

Kesho tukutane mnazi mmoja uelekeo Ikulu

Mange Kama umekula pesa za walipa Kodi utazitapika acha utapeli.
 
Kuwa na heshima hata kidogo na Mange mdau.
 
Kama unaotaka kuandamana KESHO tarehe10/12/2025 andamana.Uzuri yule JAMAA mwenye jersey ya YANGA amesema Yuko tayari Kwa kazi muda wowote kuwakabili wahuni
Tutaandamana vizuri aje kariakoo mtaa kongo achaguw wa kulenga 🤣
 
Angekua anataka kuzila angekula kipindi kile cha mkataba wa Bandari
 
Mpe heshima yake Mange. Ukianza kumchokonoa Mange pambano tunashindwa.
 
Mtabadili tarehe mpk Yesu arudi.
Mwizi yyt anatakae toka kujaribu kuvunja maduka na kuchoma miundombinu ya nchi atakula shaba tu
Hakuna kucheka na nyani.
Uzuri wa hizo shaba wanakula hadi watu wasiohusika.
 
Mtabadili tarehe mpk Yesu arudi.
Mwizi yyt anatakae toka kujaribu kuvunja maduka na kuchoma miundombinu ya nchi atakula shaba tu
Hakuna kucheka na nyani.
Yaani unajikusanya miaka unafungua kiduka chako anakuja mpuuzi mmoja kuvunja na kuiba anasema anaandamana?
Safari hii hakuna kusubiri polisi atakaethubutu kuvunja tunadili nae hata sura haitatambulika.
 
Iwe kesho iwe mwakani mkiweka tu pua barabarani mama zenu watalia sana.
Upumbavu wenu mwaka huu utaisha rasmi
 
Umekunywa dawa leo au uko na cramps?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…