Je, Mama anazikubali sherehe za Mapinduzi?

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
963
2,895
Mama anawapenda sana waarabu,je anafurahia sherehe za Mapinduzi ambazo ziliua waarab na kuwafukuza nchini Zanzibar!?

Wakati Waarabu wa Omani walipokiteka kisiwa cha Mombasa kutoka kwa Wareno 1698, Zanzibar na Pemba zilikua chini ya watawala wa Kiarabu kutoka Omani, na baada ya zaidi ya karne moja waliondoka na kukiacha kisiwa hicho chini ya utawala wa Wazanzibar.

Mama anasema Oman ni wajomba zake, je anafurahia sherehe hizi za Mapinduzi zilizowafukuza waarabu?
 
Swali lako limeonyesha uwezo wako wa kufikiri kuwa mzuri ........Jibu lipo kwenye hili fumbo (kwanini? Samia ana wachukia Nyerere na Karume kuliko Magufuli) ...ukijua jibu la hilo fumbo basi utakuwa umejua jibu la hilo swali lako.
 
Kumbeerr....sasa nimeelewa !! Njomba alifurushwa....kinyongo bado kipo...ndio maana kawapa bandari kulipa kisasi khaaa kweli sisi wajinga na majogaaaa
 
Wengi wali chinjwa maana hata wao walichinja sana watanzania na wanawake wao waliolewa na wabantu kwa nguvu kwa amri ya shujaa karume
 
Mama anawapenda sana waarabu,je anafurahia sherehe za Mapinduzi ambazo ziliua waarab na kuwafukuza nchini Zanzibar!?

Wakati Waarabu wa Omani walipokiteka kisiwa cha Mombasa kutoka kwa Wareno 1698, Zanzibar na Pemba zilikua chini ya watawala wa Kiarabu kutoka Omani, na baada ya zaidi ya karne moja waliondoka na kukiacha kisiwa hicho chini ya utawala wa Wazanzibar.

Mama anasema Oman ni wajomba zake, je anafurahia sherehe hizi za Mapinduzi zilizowafukuza waarabu?
#pascal... @P naomba utusaidie moyoni kwa mama kuna lipi unahisi ukifuatlia historia ya wajomba zake kufurushwa na kuuawa kwa maelfu ? Hadi leo Dultan Jamshid anatanani aje afie Zbar ....kama raia kawaida....sasa Je Mama yuko upande gani ? Wajomba au kulinda Wanyamwezi na Mapinduzi?
 
Back
Top Bottom