Je, mama analikimbia kundi lililompigania kuhakikisha anakikalia kiti? Kwann?

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,408
Sote tunazikumbuka tetesi na minong'ono iliyokuwa imezagaa mara tu baada ya kifo cha Magufuli. Tetesi zilidai kundi la watu watiifu kwa Magufuli hawakutaka mama akikalie kiti hicho. Walifanya kila liwezekanalo ili waweke mtu wao.

Ikatokea kundi la "wenye nchi" likawa na akili kubwa na ushawishi mkubwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama wakakakomaa na kuhakikisha mama anakalia kiti.
Kufuatia kadhia hiyo, tuliona watu wengi waliokuwa watiifu kwa Magufuli wakionja joto ya jiwe baada ya mama kukikalia kiti. Akina Bashiru, Polepole, Ndugai, Lukuvi, Kabudi, Hapi, Sabaya, n.k waliondolewa kwenye nyadhifa zao ili wasiwe karibu na sinia la mema ya nchi.

Lkn sasa tunaona mwelekeo wa mama ni kulisogeza kundi la mwendazake taratibu kwenye sinia la mema ya nchi. Uteuzi wa Makonda, Biteko na Mnyeti unathibitisha haya.

Swali la kujiuliza ni je, mama analikimbia kundi lililompigania? Kwann?
 
Sote tuzikumbuka tetesi na minong'ono iliyokuwa imezagaa mara tu baada ya kifo cha Magufuli. Tetesi zilidai kundi la watu watiifu kwa Magufuli hawakutaka mama akikalie kiti hicho. Walifanya kila liwezekanalo ili waweke mtu wao.

Ikatokea kundi la "wenye nchi" likawa na akili kubwa na ushawishi mkubwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama wakakakomaa na kuhakikisha mama anakalia kiti.
Kufuatia kadhia hiyo, tuziona watu wengi waliokuwa watiifu kwa Magufuli wakionja joto ya jiwe baada ya mama kukikalia kiti. Akina Bashiru, Polepole, Ndugai, Lukuvi, Kabudi, Hapi, Sabaya, n.k waliondolewa kwenye nyadhifa zao ili wasiwe karibu na sinia la mema ya nchi.

Kwa hyo waliua wakatamalaki ?? Huyajui maisha vzur
 
Hapa cdm wanabaki njia panda, jiwe alikuwa anawadunda, wakalalamika, mama akawapa mkono wa amani, wakamwita dhaifu, amerudisha wanaowadunda, wanalia tena.

Wakati mama anahubiri Siasa za kistaarabu, Lissu na genge lake walikuwa wanamtupia matusi ya nguoni, haya Sasa, mmeletewa miksa pilipili kichaa na ndimu
Mada haihusu Chadema. Soma tena uelewe
 
Swali la kujiuliza ni je, mama analikimbia kundi lililompigania? Kwann?
Naamini nyuma ya mama kuna watu wazito hasa wa kimkakati walioamua kuyaua haya makundi mawili msoga na sukuma gang.

Mama anaenda kuyazika haya makundi rasmi. Namaanisha hivi haya makundi yanaenda kufa.Mbinu inayotumika pamoja na akili ni za hali ya juu mno! Naona kuna ujasusi humu!
 
Sexless ana mkwamo kwenye hatua za maombolezo.

Amebakia kwenye hatua ya "Hasira" tena, amejaa kisirani na kisasi. Kwa majumusho, ana Makasiriko.

Nani anayeonja joto la Jiwe? Ukizingatia tumekuwa na Jiwe moja tu Tanzania, tena.

Sasa, chagua caption yako mwenyewe, 'Maigizo' au 'Maagizo'
201101q.jpg

picha:EATV
 
Hapa cdm wanabaki njia panda, jiwe alikuwa anawadunda, wakalalamika, mama akawapa mkono wa amani, wakamwita dhaifu, amerudisha wanaowadunda, wanalia tena.

Wakati mama anahubiri Siasa za kistaarabu, Lissu na genge lake walikuwa wanamtupia matusi ya nguoni, haya Sasa, mmeletewa miksa pilipili kichaa na ndimu
 
Naamini nyuma ya mama kuna watu wazito hasa wa kimkakati walioamua kuyaua haya makundi mawili msoga na sukuma gang.

Mama anaenda kuyazika haya makundi rasmi. Namaanisha hivi haya makundi yanaenda kufa.Mbinu inayotumika pamoja na akili ni za hali ya juu mno! Naona kuna ujasusi humu!
Mnalazimisha sana Uwepo wa Makundi, yasiyokuwepo.

Punguzeni makasiriko.

Hakuna la Msoga, wala la Wasukuma.
 
Kisiki anayetegemea vyombo vya Dola, au Mimi ndio sijui ukisiki ni nini? Dhalimu mwenyewe alikuwa anapewa kubwa yake live wakati wa kampeni hadi akawa anaenda gereji Kila mara, itakuwa huyo makalio ya mlogalinzila? Cdm hawategemea siasa za mbeleko, unapewa kubwa yako maana hawaendekezi siasa za hisani.
 
Naamini nyuma ya mama kuna watu wazito hasa wa kimkakati walioamua kuyaua haya makundi mawili msoga na sukuma gang.

Mama anaenda kuyazika haya makundi rasmi. Namaanisha hivi haya makundi yanaenda kufa.Mbinu inayotumika pamoja na akili ni za hali ya juu mno! Naona kuna ujasusi humu!
Amna ujasusi zaidi ya matumizi ya mabavu, na watu kuendekeza siasa za uchawa ili wapate mlo.
 
Sote tuzikumbuka tetesi na minong'ono iliyokuwa imezagaa mara tu baada ya kifo cha Magufuli. Tetesi zilidai kundi la watu watiifu kwa Magufuli hawakutaka mama akikalie kiti hicho. Walifanya kila liwezekanalo ili waweke mtu wao.

Ikatokea kundi la "wenye nchi" likawa na akili kubwa na ushawishi mkubwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama wakakakomaa na kuhakikisha mama anakalia kiti.
Kufuatia kadhia hiyo, tuziona watu wengi waliokuwa watiifu kwa Magufuli wakionja joto ya jiwe baada ya mama kukikalia kiti. Akina Bashiru, Polepole, Ndugai, Lukuvi, Kabudi, Hapi, Sabaya, n.k waliondolewa kwenye nyadhifa zao ili wasiwe karibu na sinia la mema ya nchi.

Lkn sasa tunaona mwelekeo wa mama ni kulisogeza kundi la mwendazake taratibu kwenye sinia la mema ya nchi. Uteuzi wa Makonda, Biteko na Mnyeti unathibitisha haya.

Swali la kujiuliza ni je, mama analikimbia kundi lililompigania? Kwann?
Pengine ni kuyaleta karibu makundi yote
 
Lkn sasa tunaona mwelekeo wa mama ni kulisogeza kundi la mwendazake taratibu kwenye sinia la mema ya nchi. Uteuzi wa Makonda, Biteko na Mnyeti unathibitisha haya.
Wengine wameteuliwa ili kuvuta uungwaji mkono kutoka kanda ya ziwa.

Mwingine aliteuliwa kati Kati ya sakata la kusainiwa HGA (Dp world) ili kupoteza 'attention' kwenye hilo swala.
 
Kuna watu aina mbili hapa naona
Moja ni wale fuata mkumbo na walifanya mabaya aidha kuona mwenye mpini ndio anataka mambo ya hivyo ila kiuhalisia hawako hivyo

Na kuna kundi wana roho mbaya kiundani kabisa na chuki kubwa
Hao tabia zao hazibadiliki na ndio hao wazee wanafiki waliowekwa kapuni kabisa
Na hawatarudi hao mpaka umauti unawakuta
 
Naamini nyuma ya mama kuna watu wazito hasa wa kimkakati walioamua kuyaua haya makundi mawili msoga na sukuma gang.

Mama anaenda kuyazika haya makundi rasmi. Namaanisha hivi haya makundi yanaenda kufa.Mbinu inayotumika pamoja na akili ni za hali ya juu mno! Naona kuna ujasusi humu!

Lengo ni kuvunja makundi yote ili Kiti kiwe kinakaliwa na Mtu sahihi aliyepitishwa na "Wao" na sio "Hao"
 
Sote tuzikumbuka tetesi na minong'ono iliyokuwa imezagaa mara tu baada ya kifo cha Magufuli. Tetesi zilidai kundi la watu watiifu kwa Magufuli hawakutaka mama akikalie kiti hicho. Walifanya kila liwezekanalo ili waweke mtu wao.

Ikatokea kundi la "wenye nchi" likawa na akili kubwa na ushawishi mkubwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama wakakakomaa na kuhakikisha mama anakalia kiti.
Kufuatia kadhia hiyo, tuziona watu wengi waliokuwa watiifu kwa Magufuli wakionja joto ya jiwe baada ya mama kukikalia kiti. Akina Bashiru, Polepole, Ndugai, Lukuvi, Kabudi, Hapi, Sabaya, n.k waliondolewa kwenye nyadhifa zao ili wasiwe karibu na sinia la mema ya nchi.

Lkn sasa tunaona mwelekeo wa mama ni kulisogeza kundi la mwendazake taratibu kwenye sinia la mema ya nchi. Uteuzi wa Makonda, Biteko na Mnyeti unathibitisha haya.

Swali la kujiuliza ni je, mama analikimbia kundi lililompigania? Kwann?
Hapana kundi sahihi ni letu wana CCM.
 
Hapa cdm wanabaki njia panda, jiwe alikuwa anawadunda, wakalalamika, mama akawapa mkono wa amani, wakamwita dhaifu, amerudisha wanaowadunda, wanalia tena.

Wakati mama anahubiri Siasa za kistaarabu, Lissu na genge lake walikuwa wanamtupia matusi ya nguoni, haya Sasa, mmeletewa miksa pilipili kichaa na ndimu
Ni ujinga na utaahira kila wakati kuamini kuwa Chadema ndiyo waathirika peeke wa maovu ya CCM. Ripoti za CAG za miaka yote zinaonyesha ubadhirifu wa kutisha sana huko serikalini lakini katika mfumo wa kulindana hatua stahiki hazichukuliwi ndiyo maana mambo haya yanajirudia.
CCM kwa kuona kuwa uchaguzi mkuu unakaribia wanaanza kugawana keki ya taifa bila kujali tofauti zao. Sasa anapotokea zwazwa kama wewe kuona ushirika mwovu wa maccm unawakomoa Chadema ni jambo la kushangaza. Hawa watu wanafaidishana wenyewe ambao wako kwenye mfumo na kuwaacha mamilioni ya watanzania katika dhiki kuu bila kujali Itikadi za vyama. Hakuna maduka wala masoko ya wanaccm bali mfumuko wa bei unatutafuna wote. CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu.
 
Mnalazimisha sana Uwepo wa Makundi, yasiyokuwepo.

Punguzeni makasiriko.

Hakuna la Msoga, wala la Wasukuma.
Utajuaje na wewe ni chawa? Wenye akili wote huko CCM na nje ya CCM wanajua makundi yapo,ila sasa kwa vile uchaguzi unakaribia wanayafubaza ili wawe kitu kimoja wakisharudi madarakani uhasama unarudi tena,hiyo ni staili ya CCM miaka yote ndiyo maana JK aliwahi kusema kuwa wanaccm hawaachiani vinywaji mezani.
 
Wengine wameteuliwa ili kuvuta uungwaji mkono kutoka kanda ya ziwa.

Mwingine aliteuliwa kati Kati ya sakata la kusainiwa HGA (Dp world) ili kupoteza 'attention' kwenye hilo swala.
Kwa muktadha wako, kama nimekuelewa vizuri na ukizingatia structure ya CCM na mchakato mzima wa kumchagua mgombea wake, SSH hahitaji uungwaji mkono kutoka kanda ya ziwa, hata kwa kura za Wananchi. Labda kwa matakwa ya Kisiasa tu.

Kwa maoni yangu, huyo wa HGA, ni kafara, its a sunk cost strategy. However he has been Effective and effectively so, amewaweza wote, ndani na nje ya CCM.

Mengine ni matusi tu na siasa za kutishana na kutisha Watanzania- Ukichungulia Afrika sasa hivi ni Magulification tu, there is no stopping-Tanzania na Afrika tunaweza bila ya Ukoloni mamboleo.

Aluta Continua.
 
Utajuaje na wewe ni chawa? Wenye akili wote huko CCM na nje ya CCM wanajua makundi yapo,ila sasa kwa vile uchaguzi unakaribia wanayafubaza ili wawe kitu kimoja wakisharudi madarakani uhasama unarudi tena,hiyo ni staili ya CCM miaka yote ndiyo maana JK aliwahi kusema kuwa wanaccm hawaachiani vinywaji mezani.
....yale yale niliyosema, mnalazimisha. SG unajua fika sina uchawa, na sijawahi kuwa chawa. That aside.

narudia, mnalazimisha uwepo wa genge la kabila la Wasukuma, mnalazimisha uwepo wake, kama wewe umejiweka kwenye hilo kundi la wenye Akili, basi utagundua hata huyu SSH ni kundi hilo hilo, nankama umonkwenye wasio na akili basi mtabakia na Makasiriko tatizo hamtaki kuamini mnachokiona.

CCM kama ilivyo hahitaji hizo siasa za Kikanda. Kama ilivyo, SSH ni mgombea, kama ilivyo keshapita na kwa matokeo ya 2020 hakuna wa kubadilisha matokeo 2025 na huo ndio Ukweli.

Haya mengine sijui genge hili na lile jiwe this and that, ni negative reinforcement tu. Its a psychological warfare kwa Wananchi kwa sababu tu ya Impact ya J.P.M kwenye siasa za Dunia. Period. Ameweza kupunguza mbio za treni la Ukoloni mamboleo.

Ongeza na zako au uendeleze ukasuku.
 
Back
Top Bottom