Je, MALAIKA anaweza kuwa Mungu kwa mujibu wa Civilian Coin au kiumbe gani kiwe Mungu

Je, MALAIKA anaweza kuwa Mungu kwa mujibu wa Civilian Coin au kiumbe gani kiwe Mungu

Asubuhi News

Member
Joined
Mar 15, 2026
Posts
52
Reaction score
90
Nimepitia kipeperushi Cha Bw. Civilian Coin-mtoto wa Kisandu Kama anavyojiita yeye anathibitisha kuwa Malaika ndio Mungu.
Screenshot_20260316-175209_1.jpg
 
Watu wenye riziki nyepesi wanafikiria sana! Hata ivyo huyo angalau amewaza malaika ni mungu ,Kuna wengine wanawaza mbl zaidi
 
 
Yes anaweza kuwa mungu au chochote kile………… but not in reality
Labda kwenye ulimwengu wa kufikirika kwasababu HAKUNA mungu wala shetani
 
Juyu binadam kabadili jina..
CIVILIAN COIN
 
Back
Top Bottom