Je, majini ni kitu gani na yanataka nini?

Status
Not open for further replies.
sihitaji abrakadabla hadi siku nionane nao live niwahoji, maana inakuwaje mtu anakuwa na marohani(majini)afu anakatazwa na hao majini kunywa pombe, umalaya, uhuni, uvutaji sigara nk, kwa manufaa yepi na ya nani
Angalia post yangu ya sifa za Majini. Number 17
 
There are all kinds of tales about ghosts, devils, witches,vampires; and not a few persons have claimed to have had various experiences with such creatures. Of the several cases that have come to my attention, most of the persons involved suffered from overly strong and diseased imaginations. One of them , a woman, had chanced to read a book about vampires,and her imaginings were so vivid that she believed one of them was sucking her blood away each night. Whenever she visited me , she became well; but the idea of the nightly presence of a vampire was so strong in her that after a time she would become ill again. She died prematurely, destroyed by her ownthoughts. *
In the sixteenth century, belief in witchcraft was wide-spread, and hundreds of persons suspected of being witches were falsely accused of being in league with the devil and were put to death. Joan of Arc was burned at the stake as one be-witched. Even Jesus Christ, who was healing the sick and do-ing only good, was accused of being in touch with Beelzebub.It is true that at various times evil spirits in possessed persons recognized Jesus and spoke to him, saying, "Let us alone; what have we to do with thee, thou Jesus of Nazareth? art thou come to destroy us? I know thee who thou art: the Holy One of God ."+ Jesus himself spoke of Satan* and of evil spirits, which he exorcised from many persons, in one case casting the evil spirits into the bodies of a herd of swine
There is another world, the astral, hidden behind this universe. Its inhabitants are garbed in an astral form made of light.Lacking a physical body, they are "ghosts," invisible to us. Ordinarily they are confined to their own sphere, just as we are limited to our own physical world. If it were a simple matter for the ill-intentioned among astral beings to penetrate the earth plane and hurt us, we would be living in terror all the time . There is enough horror already on this earth of ours. Are not millions of deadly germs floating around? Certainly God would not add the interference of spooks to our sufferings!
There are, however, a few astral beings known as "trampsouls." They are earthbound because of strong attachments to the world, and are desirous of entering a physical form for sense enjoyments. Such beings are usually unseen; and they have no power to affect the ordinary person. Tramp souls do occasionally succeed in entering and taking possession of someone's body and mind, but only when such a person is mentally unstable or has weakened his mind by keeping it of-ten blank or unthinking. It is like leaving a car unlocked with the key in the ignition,- some vagrant may get in and drive off. Tramp souls want a free ride in someone else's physical-body vehicle—anyone's—having lost their own that they were so attached to. It was in such cases of possession that Jesus exorcised the vagrant spirits. Tramp souls cannot stand the high vibration of spiritual thoughts and consciousness. Sincere seekers after God who practise scientific methods of prayer and meditation need never fear such beings. God is the Spirit of all spirits. No harm from negative spirits can come to one whose thoughts are on God.
Hayo ni maandiko Ya Mtakatifu moja wa Mungu I hope yatatoa manga kidogo juu ya "mapepo"
 
Ndugu yangu, sikushauri wewe uite majini bali utoe majini. Msome Yesu Kristo alipo kuja hapa duniani, yeye alikemea na kutoa pepo chafu, hiyo ndio sifa ya Mtoto wa Mungu. Kinyume chake, wewe unakuwa sio Mtoto wa Mungu.

Wasome Mitume na Manabii wote, hawakuita na kupunga Majini, isipokuwa Nabii wa Allah.
Dogo nataka uniambie wewe unaelewa nini mana ya Jini? Kabla hutujaenda mbali, na kama kweli Mitume wote hawakuwaita majini katika mafundisho yao basi hao si Mitume. Sababu Mungu kaisha sema sikuwaumba binadamu na majini isipokuwa wawe wanani- abudu. Dogo nikisema wewe hujui dini unabisha nini sababu ya shetani kufukuzwa na Mungu KWENYE REHEMA zake. Hivi we hujui kama shetani aliabudu Mungu miaka mingi sana kabla ya kuumbwa kwa Adam au hujui hayo? Sa we Mungu yupi unaye muongelea, ambaye hakumba Majini na Binadamu, yule mungu wenu wa kipagani. Nakushauri kasome kisa cha Mtume Suleiman(Prophet Solomon) ndio utapata mwanga kidogo.
 
Dogo nataka uniambie wewe unaelewa nini mana ya Jini? Kabla hutujaenda mbali, na kama kweli Mitume wote hawakuwaita majini katika mafundisho yao basi hao si Mitume. Sababu Mungu kaisha sema sikuwaumba binadamu na majini isipokuwa wawe wanani- abudu. Dogo nikisema wewe hujui dini unabisha nini sababu ya shetani kufukuzwa na Mungu KWENYE REHEMA zake. Hivi we hujui kama shetani aliabudu Mungu miaka mingi sana kabla ya kuumbwa kwa Adam au hujui hayo? Sa we ni Mungu unaye muongelea ambaye hawakumba Majini na Binadamu, yule mungu wenu wa kipagani.
Majini ni mashetani ambao wanafuatana na tamaduni za nchi za kiarabu, lakini pia, majini haya yalikuwa ni mashetani yanayofuatana na maji au mikusanyiko ya maji; kwasababu makao yao makuu yalikuwa majini ukisoma, Ezekieli 29:3-5. Na ndio maana mfalme wa Misri, Farao alikuwa anakwenda kuabudu katika maji, Ukisoma, Ezekieli 32:2-3 inaeleza jinsi Farao alivyotegemea miungu ya katika maji kiasi biblia inamwita joka wa majini.
 
T
There are, however, a few astral beings known as "trampsouls." They are earthbound because of strong attachments to the world, and are desirous of entering a physical form for sense enjoyments. Such beings are usually unseen; and they have no power to affect the ordinary person. Tramp souls do occasionally succeed in entering and taking possession of someone's body and mind, but only when such a person is mentally unstable or has weakened his mind by keeping it of-ten blank or unthinking. It is like leaving a car unlocked with the key in the ignition,- some vagrant may get in and drive off.Tramp souls want a free ride in someone else's physical-body vehicle—anyone's—having lost their own that they were so attached to. It was in such cases of possession that Jesus exorcised the vagrant spirits. Tramp souls cannot stand the high vibration of spiritual thoughts and consciousness. Sincere seekers after God who practise scientific methods of prayer and meditation need never fear such beings. God is the Spirit of all spirits. No harm from negative spirits can come to one whose thoughts are on God.
Hayo ni maandiko Ya Mtakatifu moja wa Mungu I hope yatatoa manga kidogo juu ya "mapepo"
How did you know about them and can you support your post with verifiable evidences.
 
How did you know about them and can you support your post with verifiable evidences.

You mean how did i know about ghosts? Through reading also I heard stories from people. Mi mwenyewe nimepata ndoto mbaya in the past and they were so real i tell ya, but i came to the conclusion it's all mental based on my experiences.
 
Hapa nitakupa maelezo mafupi kuhusu Roho kama ulivyo uliza hpo kwenye post yako.

Kutokana na Biblia na jinsi waandishi wa Biblia walitumia neno la Kiebrania ru′ach au neno la Kigiriki, pneu′ma waliporejelea “roho.” Maandiko yenyewe yanaonyesha maana ya maneno hayo. Kwa mfano, andiko la Zaburi 104:29linasema: “[Yehova] ukiiondoa roho [ru′ach] yao, wanakata pumzi, na kurudi katika mavumbi yao.” Andiko la Yakobo 2:26 linasema kwamba “mwili bila roho [pneu′ma] umekufa.” Katika andiko hilo “roho” inamaanisha kile ambacho huupa mwili uhai. Bila roho, mwili umekufa. Kwa hiyo, katika Biblia neno ru′ach halitafsiriwi tu “roho” bali pia “nguvu” au kani ya uhai. Kwa mfano, Mungu alisema hivi kuhusu Mafuriko ya siku ya Noa: “Ninaleta gharika ya maji duniani ili kuharibu kutoka chini ya mbingu wote wenye mwili walio na nguvu [ru′ach] za uhai ndani yao.” (Mwanzo 6:17; 7:15, 22) Hivyo, “roho” inarejelea nguvu isiyoonekana, inayotendesha viumbe vyote vilivyo hai.

Popote neno “roho” limetumika, linaashiria sehemu ya ndani ya mwanadamu ambayo “yakutanika” na Mungu, ambaye Yeya mwenyewe ni Roho (Yohana 4:24).

Umejibu vizuri sana kwa kueleza kazi ya roho na umuhimu wake,ila ningeomba sasa umalizie kwa kueleza asili ya hiyo roho ili tujue roho hupatikana vipi?
 
Majini ni mashetani ambao wanafuatana na tamaduni za nchi za kiarabu, lakini pia, majini haya yalikuwa ni mashetani yanayofuatana na maji au mikusanyiko ya maji; kwasababu makao yao makuu yalikuwa majini ukisoma, Ezekieli 29:3-5. Na ndio maana mfalme wa Misri, Farao alikuwa anakwenda kuabudu katika maji, Ukisoma, Ezekieli 32:2-3 inaeleza jinsi Farao alivyotegemea miungu ya katika maji kiasi biblia inamwita joka wa majini.
Majini yako kabla ya biandamu dogo, sa wewe tatizo lako huna elimu ndio mana nikakumbia. Usiwe unaleta mada huji unacho kiongea. Jini wakristo wanamuita Malaika na wanamuita mungu. Si bora hata waiislam, tunasema yako majini wale wamesilimu nawako wale wamebaki kuwa makafiri kama nyie. Lazima ufahamu wewe dogo kabla ya Mungu kumumba Adam, aliwaumba majini tu. Wakawa wanamuabudu Mungu lakini wengi wao wakakufuru kw amadhambi. Kama vile leo wakristo, wanavyo kufuru na kusema binadamu kawa Mungu. Sa katika wote majini ni shetani tu ndio akajidai yeye kumtii Mungu, kumbuka aliabudu miaka million sio wewe hata miaka 100 ukifika nadhani ni ndoto. Huyo shetani akawa anajpendekeza kwa Mungu na Mungu Alisha ujua ukweli wake wa ndani. Mungu alimpandisha cheo mpaa akafikia kuwa anaitwa Malaika. Walipokuwa Malaika wanaitwa na Mungu na yeye anakwenda tena akienda anaenda kwa adabu na heshima. Shetani alidhani Mungu atamfanya yeye kuwa Mungu wa Malaika na viumbe vingine atakavyo umba baada ya wale majini. Mungu kumbe anamtega ndio pale akamumbia amsujudie Adam, yeye akajifanya bingwa na mwenye kuringa. Akasema umemumba Adam kwa udongo na mimi umeniunba kwa moto. Ndio pale akafukuzwa kwenye rehma ya Mungu mpaa siku ya kiyama na ni mtu wa kwenda motoni.

Sa dogo wacha kutuleta hadith za kikristo mnazo potezwa kule kanisani, majini hayahusiki na warabu wala wazungu, au uislam. Majini ni viumbe ambao hawaonekani hata nyumbani kwako wapo, sa wako ambao wanakuwa makafiri kama wewe Ishmael, na wako waislam kama mimi. Nadhani utajifunza hapo na wacha kuwa unatuleta hadith za kutunga tunga hapa, tutakukosoa tu. Sababu tuna elimu tosha kabisa ya kuwashinda wakristo wote, na dini zao za utamaduni wa Paulo.
 
Somo: Mapepo/Majini ni nini?
Lengo Kuu: Kujua mapepo na kazi zake.
Lengo Mahsusi: Kujua namna ya kuzishinda roho za kipepo na kazi zake.

MAPEPO
Ni roho chafu, roho za mashetani, ziwaingiazo watu ili kuwatesa kwa magonjwa na mateso anuwai.
"Naye Yesu akisha kuona kuwa mkutano unakusanyika mbio, akamkemea yule pepo mchafu akamwambia, Ewe pepo bubu na kiziwi,mimi nakuamuru mtoke huyu, wala usimwingie tena"(Marko 9:25) pia (Mt 4:24 &7:22).

Sifa kuu ya Mapepo ni kuwa, hayana umbo, nyama wala mifupa. Ni roho, na roho haiwezi kuwa na mwili wala mifupa (Luka 24:39)"....ni shikenishikeni, mwone; kwa kuwa roho haina mwili wala mifupa..." Isipokuwa, Huweza kuingia ndani ya mwili wa kiumbe hai na kuvaa umbo na sura yake.

Kumbuka: Hii ziyo mizimu au Roho za wafu. Mtu akishakufa, roho yake haina uwezo wa kurudi duniani. Usidanganyike. Fuatilia kisa cha tajiri na masikini, roho ya tajiri haikuweza kurudi duniani. (Luka 16:27-31)
Wala, roho hizi(mapepo) siyo malaika walioasi, kwa kuwa wao wametekwa na tayali wako kwenye kamaba zao wakingoja siku ya hukumu (Yuda 1:16,2Petro 2:4)

Swali: Je, mkuu wa mapepo ni nani? Ili kupata jibu fuatana nami.....
Biblia katika kitabu cha Marko 3:22, imeeleza wazi, aliye mkuu wa mapepo. Naye ni Beelzebuli. Hili ni dhahili, kuwa huyu ndiye mkuu wa mapepo na ndiye pepo mkuu.

Je, mapepo yanamfahamu Mungu, yanamchukuliaje?
Mepepo yanafahamu fika kuwa Mungu yupo. Tena yanajua kuwa Mungu anauwezo na nguvu zaidi yao, ndiyo maana humwogopa. (Yakobo 2:19)."Wewe waamuni ya kuwa Mungu ni mmoja; watenad vema.mashetani nao wanaamini na kutetemeka"

Kama vile mapepo yanavyomogopa Mungu na hata kutetemeka, kadharika mtu asiye na roho wa Mungu, huyaogopa mapepo. Je, hujaona mtu anaogopa kulala peke yake ndani, pengine hata mchana huogopa kubaki nyumbani peke yake wengine wanapokuwa hawapo? Hata wanafunzi wa Yesu, kabla ya kumpokea Roho Mtakatifu, walikuwa waoga juu ya pepo. (Mathayo 14:26,Luka 24:37). Hivyo, watu wote, wanapaswa kuokoka na kupokea nguvu ya Roho mtakatifu ili kuwashinda mapepo na kazi zao zote.

Zingatia hili, mapepo yananao uwezo wa kutenda miujiza kupitia watu, vitu na hata wanayama ili kuwadanganya watu na miujiza yao ya uongo (Ufunuo 16:14).

Hakika, kazi za mapepo zikidhibitiwa vilivyo, kazi zote za adui/ shetani zitakuwa zimeshindwa na maangamizi yote ya kipepo hayatapata nafasi tena. Amen.

Je, kuna uhusiano gani kati ya watu/ binadamu na mapepo? Chanzo/asili yake ni nini? Endelea kufuatana nami toleo lijilo.......

Karibuni Eiyer 2013 Mkuu wa chuo MziziMkavu Pasco Lisa Valentine Adiosamigo Rakims Monstgala ........
Well said mkuu,, kwa kuongeza wapo watu wanaopenda kusikiliza mafundisho ya mashetani wakiamini wanapata maarifa na ukweli. wajue tu shetani huja na mafundisho yake mwenyewe na sio mafundisho ya Mungu kwa kuwa ni shetani ni Muuaji na mwongo . amethibitishwa hivyo kimaandiko.

Ufunuo
12:9
Yule joka akatupwa, yule mkubwa, nyoka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, audanganyaye ulimwengu wote; akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye.

Yohana 8: 43 ''''''''''Ibilisi Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo.


shetani ni baba wa uongo kwasababu: i ngumu kwa binadamu ku-draw line between Truth na lies. in short binadamu unaweza kuwa mwogo lakini huwezi mfikia shetani hata kidogo.

Pia ni kweli kuwa shetani yupo duniani hajaondolewa lakini neno la mungu linatakasa kwakuwa ndilo neno la kweli

Yohana 17: 14 Mimi siombi kwamba uwatoe katika ulimwengu; bali uwalinde na yule mwovu.15 Wao si wa ulimwengu, kama mimi nisivyo wa ulimwengu.16 Uwatakase kwa ile kweli; neno lako ndiyo kweli.


japo kuna vitabu vinasema Allah ni best deceiver yaani hata mimi simfikii kwa uongo - Surah 3:54, S. 13:42S. 6:123, Surahs 7:182-183 and 68:45
yatupasa tuwe makinina hawa wote wanaojiita waongo. Kwani Mungu wa Kweli si mwongo. Mungu si mwanadamu, hata aseme uongo(hesabu 23:19)


sources:
UNDENIABLE PROOF THAT ALLAH LIED IN THE QUR'AN - Non-fiction Article - Allah, Lie, Lies - Booksie
Allah – The Greatest Deceiver of them All

Holy bible
 
Majini ni mashetani ambao wanafuatana na tamaduni za nchi za kiarabu, lakini pia, majini haya yalikuwa ni mashetani yanayofuatana na maji au mikusanyiko ya maji; kwasababu makao yao makuu yalikuwa majini ukisoma, Ezekieli 29:3-5. Na ndio maana mfalme wa Misri, Farao alikuwa anakwenda kuabudu katika maji, Ukisoma, Ezekieli 32:2-3 inaeleza jinsi Farao alivyotegemea miungu ya katika maji kiasi biblia inamwita joka wa majini.


Kwasababu ya mashetani hao wanaokaa majini, mara nyingi maji katika biblia yamekuwa yakitumika kuonyesha uharibifu, Zaburi 18:16. Ndio maana hata kipindi cha Musa alipokuwa anamfuata Farao ili kuomba ruhusa ya kutoka utumwani, maranyingi, alikuwa akimkuta anatoka au anakwenda majini, Kutoka 7:18; 8:20; Ilikuwa ni desturi ya farao kwenda kuabudu katika mikusanyiko ya maji. Maandiko yameonyesha sana kuhusu mashetani wa baharini, katika Ufunuo 14:31; 20:13, Isaya 27:1, Ayubu 3:8.

mashetani!
Shetani ana ndugu na jamaa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom