Je, majini ni kitu gani na yanataka nini?

Status
Not open for further replies.
Kwani wewe neno la (kuingiliana) unalichukulia kivipi? neno kuingiliana linahusu Mwanamme kumuingilia mwanamke au kufanya nae mapenzi Sex ndio alivyokusdia kusema Mwenyeezi Mungu kwani wewe unajuwa maana ya kuingiliana? umesoma mpaka darasa la ngapi shule? au ndio umefika Divisheni 5? Nenda shuleni kamuuliza mwalimu wako wa kiswahili ni nini maana ya kumuingilia mwanamke mwalim wako atakujibu ipasavyo . Usilete maneno ya pumba hapa.

Hawa vijana wa Mulugo wanaweza kukufanya ujute kwanini ulisoma mawazo yao! Ila ni kwenda nao hivyo maana tukiwatenga watakuwa si sehemu ya jamii!
 
Hawa vijana wa Mulugo wanaweza kukufanya ujute kwanini ulisoma mawazo yao! Ila ni kwenda nao hivyo maana tukiwatenga watakuwa si sehemu ya jamii!
Kiswahili kinawagonga sana hawa wenzetu walokole tunakwenda nao

hivyo hivyo kilokole lokole tu. Kumuingilia mtu maana yake ni Mwanamme kumuingilia mwanamke . Na neno kuingiliana maana yake

kufanya mapenzi baina ya mume na mke. Sasa anaposema Mwenyezi Mungu mnapoingiliana hajakusudia kusema vibaya amnesema

Mwenyeezi Mungu hayo maneno kwa kufanya heshima kwa sababu ni yeye ndie anayesema yeye Muumba Mwenyeezi Mungu.

Anayajuwa wanayoyaficha viumbe wake na wanayo yadhihirisha Moyoni mwao kuna Binadamu anaye weza kumkosoa Mungu maneno

yake? Hawa Walokole kazi yao kubwa ni kubisha bisha ki utumbo utumbo hawana elimu nayo hayo wanayoyasema kazi yao kubwa ni

kubisha bisha kimchungwa mchungwa au ki Pumba pumba tu hawana elimu walokole wa jamii Forums.
 
Kwani wewe neno la (kuingiliana) unalichukulia kivipi? neno kuingiliana linahusu Mwanamme kumuingilia mwanamke au kufanya nae mapenzi Sex ndio alivyokusdia kusema Mwenyeezi Mungu kwani wewe unajuwa maana ya kuingiliana? umesoma mpaka darasa la ngapi shule? au ndio umefika Divisheni 5? Nenda shuleni kamuuliza mwalimu wako wa kiswahili ni nini maana ya kumuingilia mwanamke mwalim wako atakujibu ipasavyo . Usilete maneno ya pumba hapa.

BALAA: KUMBE WANAUME WA KIISLAM WAMERUHUSIWA KUINGILIANA KIMWILI
Surah An Nisaai 21. Na mtachukuaje na ilhali mmekwisha ingiliana nyinyi kwa nyinyi, na wao wanawake wamechukua kwenu ahadi iliyo madhubuti?

HUU SI NDIO ULIBERIA HUUU
 
KUMBE YESU ALIKUA MSENG.E 😎😎😎😎😎

I truly believe that Jesus of
Nazareth was not a straight man
and there are plenty of facts to
prove it. That’s right, the man who
died for your sins may very well
have been a homosexual.
1. The son of God, a man that
had the power to surround
himself with hundreds of
women choose 12 men to
hang out with. 12 MALE
Apostles.
2. These 12 men all went by their full names. Nathaniel,
Phillip, Andrew, Mathew, Thomas and so on. This is
something that gay men are notorious for. If Judas was
into vagina he would have gone by Jud. Mathew would
have been Matt and Thomas would have been Tom.
3. His first miracle of turning water into wine. Please,
wine?! A straight male would have made that shit a Bud
Light and called it a day. But Jesus had class and taste,
he converted that H2O into Sauvignon Blanc Jerusalem
Valley 26 AD. Poof!
4. History states that he was a “craftsman” until the age
of 30. Some say that this translates into a carpenter. But
for the sake of my theory I am saying that a
“craftsman” was really an interior designer.
5. He was 30 and not married and in those days people
probably got married at 15.
6. He preached the importance of charity and loving one
another. Powerful straight men start wars and pay for
sex while their wives are at home with the kids.
7. Jesus had the power to do anything that he wanted. If
this man were a heterosexual male, the wrecker of
everything scared he would have created a machine
gun or the stock market. But the son of God, Jesus of
Nazareth, used his heavenly power to heal the sick and
give vision to the blind.
8. Mathew 14-22 jesus love being massaged in his buttock
 
Kwani wewe neno la (kuingiliana) unalichukulia kivipi? neno kuingiliana linahusu Mwanamme kumuingilia mwanamke au kufanya nae mapenzi Sex ndio alivyokusdia kusema Mwenyeezi Mungu kwani wewe unajuwa maana ya kuingiliana? umesoma mpaka darasa la ngapi shule? au ndio umefika Divisheni 5? Nenda shuleni kamuuliza mwalimu wako wa kiswahili ni nini maana ya kumuingilia mwanamke mwalim wako atakujibu ipasavyo . Usilete maneno ya pumba hapa.
................................
BALAA: KUMBE WANAUME WA KIISLAM WAMERUHUSIWA KUINGILIANA KIMWILI
Surah An Nisaai 21. Na mtachukuaje na ilhali mmekwisha ingiliana nyinyi kwa nyinyi, na wao wanawake wamechukua kwenu ahadi iliyo madhubuti?
HUU SI NDIO ULIBERIA HUUU
............................

Haya Tuanze kuichambua:

Na mtachukuaje na ilhali mmekwisha ingiliana nyinyi kwa nyinyi (Hapa anawaongelea wanaume kuwa wamekwisha ingiliana wao kwa wao)

........na wao.....(akina nani)

wanawake wamechukua kwenu ahadi iliyo madhubuti?..(hapa ndio anawaongelea wanawake)kuchukua ahadi madhubuti kutoka kwa wanaume hao wanaoingiliana wao kwa wao!

Una swali muumini wa Boko haram mwenye Division 1?
 
kichaa wewe akili huna..ushawahi kuckia hata ck 1 sheikh akiwa basha au shoga?? kama kuckia huskii hata kuona huoni??? mara ngapi maaskof na mapadri wanaolewa au kuoa waume wenzao???? na ndo mana ni bora kwanza kufanya utafiti kwa wanaoijua Qur'an kuliko kukurupuka tu.......alaf walinzi wa milembe kueni makini watu ambao hawajapona kama huyu msiwaachie tena.....
 
Hivi kwa nini ZANZIBAR na MOMBASA ndio zinaongoza kwa ushoga na usagaji Afrika Mashariki na ndizo zinazoongoza kwa kuwa na wakristo wachache zaidi?

TAFAKARI!
 
Hivi kwa nini ZANZIBAR na MOMBASA ndio zinaongoza kwa ushoga na usagaji Afrika Mashariki na ndizo zinazoongoza kwa kuwa na wakristo wachache zaidi?

TAFAKARI!
Mkuu, umemshika pabaya huyu Mfirist
 
Mkuu, umemshika pabaya huyu Mfirist

Soma uharo hapo chini

1) Kuna aya mbili zinazotofautiana juu ya uumbaji
zinazopatikana katika kitabu cha mwanzo: Katika sura
ya kwanza imeandikwa kwamba uumbaji ulichukua
siku sita. Ajabu ni kwamba katika sura ya pili,
imeandikwa kwamba Mungu aliifanya kazi hii kwa siku
moja (2:4). Tukiendelea na mikorogano hii iliyofanywa
na waandishi ni juu ya ukweli kwamba Adam alikuwa
ni kiumbe wa mwisho kuumbwa (1:27) wakati katika
aya ya pili imeandikwa kwamba alikuwa ni kiumbe wa
kwanza kuumbwa kabla ya kiumbe kingine chochote
(2:4-9).
Tukiacha aya hizi mbili zinazotofautiana juu ya
uumbaji, katika kifungu cha kwanza na cha pili pia
kuna aya nyingine mbili zinazotofautiana juu ya
gharika (mafuriko) katika kitabu cha mwanzo 6,7 na 8.
Katika vifungu hivi, aya mbili zinatofautiana juu ya
idadi ya wanyama ambao Nuhu aliwaingiza katika
safina. Aya nyingine mbili zinatofautiana juu ya sababu
ya gharika, na aya nyingine mbili zinatofautiana juu ya
muda ambao mafuriko yalidumu.
 
Hivi kwa nini ZANZIBAR na MOMBASA ndio zinaongoza kwa ushoga na usagaji Afrika Mashariki na ndizo zinazoongoza kwa kuwa na wakristo wachache zaidi?

TAFAKARI!

Lakini DANGURO (KANISA) ndio inafungisha ndoa ya jinsia moja pamoja na ndoa ya binadamu na MBWA
 
................................
BALAA: KUMBE WANAUME WA KIISLAM WAMERUHUSIWA KUINGILIANA KIMWILI
Surah An Nisaai 21. Na mtachukuaje na ilhali mmekwisha ingiliana nyinyi kwa nyinyi, na wao wanawake wamechukua kwenu ahadi iliyo madhubuti?
HUU SI NDIO ULIBERIA HUUU
............................

Haya Tuanze kuichambua:

Na mtachukuaje na ilhali mmekwisha ingiliana nyinyi kwa nyinyi (Hapa anawaongelea wanaume kuwa wamekwisha ingiliana wao kwa wao)

........na wao.....(akina nani)

wanawake wamechukua kwenu ahadi iliyo madhubuti?..(hapa ndio anawaongelea wanawake)kuchukua ahadi madhubuti kutoka kwa wanaume hao wanaoingiliana wao kwa wao!

Una swali muumini wa Boko haram mwenye Division 1?
Waislama hawana ULIBERIA Wakristo ndio wenye huo ULIBERIA. Waislam wana Sheria zao moto moto ukiuwa utauliwa ukiiba utakatwa mkono. Wakristo ndio wenye mambo ya v na demokrasia kwenye Uislam hakuna huo ULIBERIA wala Demokrasia.
 
Wote mnaotukanana kuhusu Dini ni wapumbavu wakubwa nadhani sijui kama hiyo Dini mnaijua vizuri kizazi cha nyoka nyie wote laana sumaka...
Waislamu mnaotukana Wakristo najua sio kosa lako bali ni upeo wako mdogo na namlaumu mlezi wako kwa kutokuielewa quran kama wewe.(I wonder km muhammad alikuwa akiongea upuuzi kama huu wenu sasa),...
Vilevile Wakristo kutukana miungu ya Waislam wala sio busara hata kidogo na nyie dini hamuijui kabisaaa. (Bwana Yesu katika mafunzo yake alifundisha upendo na kusamehe)...
Leo nimegundua JF is not about great Thinkers bt is for low people disscussing about other people...
Gonga like kama unajivunia kuwa Muislamu au Mkristo.
 
Kumbe WACHUNGAJI NI MBWA

ISAIAH 56:10
Isaya 56:10-11

10 Walinzi wake ni vipofu, wote pia hawana maarifa; wote ni mbwa walio bubu, hawawezi kulia; huota ndoto, hulala, hupenda usingizi.
11 Naam, mbwa hao wana choyo sana, hawashibi kamwe; na hao ni wachungaji wasioweza kufahamu neno; wote pia wamegeuka upande, wazifuate njia zao wenyewe, kila mmoja kwa faida yake, toka pande zote.

Umesema kweli Wachungaji ni MBWA kasheshe kweli jamani.
 
Ni ukweli biblia imesema wachungaji ni MBWA..hawa makafiri hawasomi biblia
 
Wote mnaotukanana kuhusu Dini ni wapumbavu wakubwa nadhani sijui kama hiyo Dini mnaijua vizuri kizazi cha nyoka nyie wote laana sumaka...
Waislamu mnaotukana Wakristo najua sio kosa lako bali ni upeo wako mdogo na namlaumu mlezi wako kwa kutokuielewa quran kama wewe.(I wonder km muhammad alikuwa akiongea upuuzi kama huu wenu sasa),...
Vilevile Wakristo kutukana miungu ya Waislam wala sio busara hata kidogo na nyie dini hamuijui kabisaaa. (Bwana Yesu katika mafunzo yake alifundisha upendo na kusamehe)...
Leo nimegundua JF is not about great Thinkers bt is for low people disscussing about other people...
Gonga like kama unajivunia kuwa Muislamu au Mkristo.
Mkuu aliye anzisha Mada alikuwa anataka kujuwa Viumbe Majini lakini watu wanaomjibu ndio wanaotukana na kuleta mambo ya Udini hapa sio jukwaa la Udini Wapumbavu watakuwa ni wale wanachama wa kwanza walioanzisha kutukana matusi kuwa tukana waumini wa dini nyingine bora Mkuu Invisible ifunge hii Thread wengi wao humu ndani ni walokole wa dini zao bora umalize ushindani wa kijinga.
 
Last edited by a moderator:
Somo: Mapepo/Majini ni nini?
Lengo Kuu: Kujua mapepo na kazi zake.
Lengo Mahsusi: Kujua namna ya kuzishinda roho za kipepo na kazi zake.

MAPEPO
Ni roho chafu, roho za mashetani, ziwaingiazo watu ili kuwatesa kwa magonjwa na mateso anuwai.
“Naye Yesu akisha kuona kuwa mkutano unakusanyika mbio, akamkemea yule pepo mchafu akamwambia, Ewe pepo bubu na kiziwi,mimi nakuamuru mtoke huyu, wala usimwingie tena”(Marko 9:25) pia (Mt 4:24 &7:22).

Sifa kuu ya Mapepo ni kuwa, hayana umbo, nyama wala mifupa. Ni roho, na roho haiwezi kuwa na mwili wala mifupa (Luka 24:39)”....ni shikenishikeni, mwone; kwa kuwa roho haina mwili wala mifupa...” Isipokuwa, Huweza kuingia ndani ya mwili wa kiumbe hai na kuvaa umbo na sura yake.

Kumbuka: Hii ziyo mizimu au Roho za wafu. Mtu akishakufa, roho yake haina uwezo wa kurudi duniani. Usidanganyike. Fuatilia kisa cha tajiri na masikini, roho ya tajiri haikuweza kurudi duniani. (Luka 16:27-31)
Wala, roho hizi(mapepo) siyo malaika walioasi, kwa kuwa wao wametekwa na tayali wako kwenye kamaba zao wakingoja siku ya hukumu (Yuda 1:16,2Petro 2:4)

Swali: Je, mkuu wa mapepo ni nani? Ili kupata jibu fuatana nami.....
Biblia katika kitabu cha Marko 3:22, imeeleza wazi, aliye mkuu wa mapepo. Naye ni Beelzebuli. Hili ni dhahili, kuwa huyu ndiye mkuu wa mapepo na ndiye pepo mkuu.

Je, mapepo yanamfahamu Mungu, yanamchukuliaje?
Mepepo yanafahamu fika kuwa Mungu yupo. Tena yanajua kuwa Mungu anauwezo na nguvu zaidi yao, ndiyo maana humwogopa. (Yakobo 2:19).”Wewe waamuni ya kuwa Mungu ni mmoja; watenad vema.mashetani nao wanaamini na kutetemeka”

Kama vile mapepo yanavyomogopa Mungu na hata kutetemeka, kadharika mtu asiye na roho wa Mungu, huyaogopa mapepo. Je, hujaona mtu anaogopa kulala peke yake ndani, pengine hata mchana huogopa kubaki nyumbani peke yake wengine wanapokuwa hawapo? Hata wanafunzi wa Yesu, kabla ya kumpokea Roho Mtakatifu, walikuwa waoga juu ya pepo. (Mathayo 14:26,Luka 24:37). Hivyo, watu wote, wanapaswa kuokoka na kupokea nguvu ya Roho mtakatifu ili kuwashinda mapepo na kazi zao zote.

Zingatia hili, mapepo yananao uwezo wa kutenda miujiza kupitia watu, vitu na hata wanayama ili kuwadanganya watu na miujiza yao ya uongo (Ufunuo 16:14).

Hakika, kazi za mapepo zikidhibitiwa vilivyo, kazi zote za adui/ shetani zitakuwa zimeshindwa na maangamizi yote ya kipepo hayatapata nafasi tena. Amen.

Je, kuna uhusiano gani kati ya watu/ binadamu na mapepo? Chanzo/asili yake ni nini? Endelea kufuatana nami toleo lijilo.......

Karibuni Eiyer 2013 Mkuu wa chuo MziziMkavu Pasco Lisa Valentine Adiosamigo Rakims Monstgala ........
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom