Mungu akasema yale maji yaliyo chini ya anga na yakusanyike mahali pamoja. Pale Pakavu akapaita nchi ikawa hivyo. Ikawa jioni ikawa asubuhi siku ya 3.Ukienda kwa Mlengo Wa Dini...hakuna kuhoji hoji...unachotakiwa ni kuamini tu.
Amini tu ndg Yangu kilichondikwa....!
'Roho Wa Mungu akatulia juu ya uso wa Maji' ...amini tu hivyo hivyo. No maswali.!
Kuna Book Of Enoch ina siri nyingiHivi ni kweli kabisa mnaona biblia ndio hakika ya majibu ya chanzo ya dunia🤔
Hapo tayar yalishakuwepoMungu akasema yale maji yaliyo chini ya anga na yakusanyike mahali pamoja. Pale Palau akapaita nchi ikawa hivyo. Ikawa jioni ikawa asubuhi siku ya 3.
Hadithi ni Hadithi tu zote zimetoka book of gilgamesh.Kuna Book Of Enoch ina siri nyingi
wakakitoa kwenye Bible
😁😁😂😂Hapo tayar yalishakuwepo
Mkuu kitabu cha Enoch ni hadithi?Hadithi ni Hadithi tu zote zimetoka book of gilgamesh.
JIBU HILI HAPA:Hail the Prince,
"Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji."
Hivi maji yalitokea wapi? Nielezeni kwa upole
Hata mwaka wako wa kuzaliwa mbona ni hadithi. Ulipokua unazaliwa ulikuwepo au ulisimuliwa?. Una uhakika mwaka ulio ambiwa ulizaliwa ni halisi? Kila kitu tunakikubali kwa imani.Mkuu kitabu cha Enoch ni hadithi?
Meza za Enoch je ?
Mkuu dini hazina shida, shida ipo kwenye uwezo wawatu wakuelewa. Ukisoma alicho andika tayari kinajibu yeye ndio kashindwa kuelewa.Dini zina loop holes nyingi ila chukua machache yanayokufaa yaliyo nje ya uwezo wako achana nayo hata ukijua hayatakusaidia, baki na yenye faida
Soma kitabu cha gilgameshMkuu kitabu cha Enoch ni hadithi?
Meza za Enoch je ?
Sawa mkuu naenda kukisomaSoma kitabu cha gilgamesh
Waelimishe namna ya kutumia , ila soma kitabu cha gilgamesh kwamza.Sawa mkuu naenda kukisoma
Ila Tablet of enochian magic ni ya kweli nina miaka nafanya ibada nyeusi natumia
Tatizo ni elimu ya kutumia hizo meza watu hawana
Imeelezea kuhusu UfunuoMkuu kitabu cha Enoch ni hadithi?
Meza za Enoch je ?
Maji ya wapi mkuu?Hail the Prince,
"Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji."
Hivi maji yalitokea wapi? Nielezeni kwa upole