Je maji yalitokea wapi?

Je maji yalitokea wapi?

Ungekuwa unawasikiliza Walimu wako wa Sayansi na Jiografia badala ya kusugua na kuchoma wenzako na mbegu za ubuyu, wala usingeenda kutafuta majibu kwenye hizo hekaya za mashariki ya kati.....
Wewe tujibu?
Ambaye ulikuwa huchezi darasani tumia hata sayansi huria
 
Mkuu giza kwa jina lingine ni void ,ni kwa sababu ya kutohoa lugha ila kitu ni kile kile

Darkness is a lack of light. Void is a lack of anything. Voids are usually portrayed as darkness because they lack light as well as substance; however, a true void would appear as a color [darker than black] .

Void is Darkness, but not all Darkness is Void.
Sasa hiyo hali nani kaumba?
 
Shida kubwa ipo kwenye tafsiri ya Biblia kwa kiswahili (KIEBRANIA kukiweka kwa kiswahili ),,,siku ya kwanza Mungu hakuumba mbingu na nchi ila aliumba nuru
Mwanzo 1:1 inaelezea historia ya jinsi uumbaji ulivyofanyika HAPO MWANZO MUNGU ALIUMBA(past tense) sio akaumba ni aliumba ...its like mimi niseme mwaka jana nilijenga nyumba kitu cha kwanza nilianza kwa kutengeneza msingi wa nyumba ,,NYUMBA HAIWEZI KUJENGWA FROM NO WHERE bila foundation kwanza
Sijui kama concept yangu umeipata vzuri
 
Yani unajiita Mungu wa ulimwengu halafu unatuuliza maji yametokea yapi..!!! ama kweli tukujibu kwa upole inaonekana kuna nyuzi kwenye ubongo wako zina shoti...🤣
 
Ukitaka kuamini/kuelewa stori za vitabu vya dini inabidi ujizime data, ni stori fulani hivi za ki abunuasi, ili wakuvuruge zaidi wanakuambia huwezi kuelewa mpaka roho mtakatifu akushukie. Ni vitu vya kusadikika tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom