Je Mafwele ni Mtanzania?

Je Mafwele ni Mtanzania?

Kuna haja ya kuwa na umiliki wa Bunduki kwa kila raia so as kujilinda dhidi ya watekaji
 
Hizi kazi za kuua watu zipo ila zina OLE. Ole wao wenye kuzifanya mwisho wao hautakuwa mzuri na damu za waliowaua zitawatafuna mpaka kizazi cha nne na kuendelea watalaanika
 
walikuepo akina IDD amin ila waikufa sembuse
 
Back
Top Bottom