JE LUKUVI NI MLA RUSHWA

fish 2

Senior Member
Joined
Aug 3, 2018
Posts
194
Reaction score
394
Matokeo ya kesi ya jana yanawasha taa nyekundu kwa mjanja mjanja Lukuvi. Ikumbukwe awamu ya 4 alipata tuhuma nyingi za rushwa kwa kulazimisha kuwa partner kwenye uwekezaji wa majengo na wafanya biashara wakubwa has a Masaki na KARIAKOO. Waliokataa kama muhundi Iqbal wamekiona cha moto. Kuna yule Afisa mipango miji wa Lindi Manase alikiuka taratibu za mipango miji miaka miwili hivi nyuma. Yeye salama yake kwa tetesi tu alitakiwa alipie vifaa vya Lukuvi bandarini. Sasa ni vema hukumu ya jana akae pembeni kabisa.
 
Hakuna aliye mwema katika dunia hii
 
Ni nani msafi ndani ndani ya chama cha majizi?
 
Kweli vyuma vimekaza hadi kwa wazee wa jiji.
 
Awamu hii ni ya piga pesa kimya kimya huku unamsifia muhishimiwa baaaas
 
mtama na kabali anapiga akiwa ana dai rushwa
 
He has learned from the very best, The Legendary Master Stone aka Jiwe.
Kuishi nchi hii moja ya hitaji la muhimu ni kujuwa self defence kama martial arts maana wanaopaswa kutetea ndio wakandamizaji, rejea mshika kipaza kumpiga mtu rungu, mke mwenza wa kidoti kuvamia mawingu na tukio maarufu kupita yote lililomkumba Lissu.

Kujibu swali lako, sio mla rushwa bali ni mnyang'anyi na mtaalam wa kupiga roba panya road wanasubiri. Ana maujuzi hata Jackie Chan anakaa.
 
Niwekee please hiyo hukumu. Huyu anpewa sifa sana lakini sijui kama ni kweli ana sifa hizo!
 
Sisiemu ni ile ile oooohhh ni ile ile,wembe ni ule ule iooohh ni ule ule, oooh sisi emu ni ile ile
Chorus:
Wataisoma,hiyo namba wataisoma...wataisoma namba ×3
Wataisoma mwaka huu wataisoma..
Mwimbo bora wa mwaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…