Je, Lissu yupo nchini?

Kama ni kweli, tunamkaribisha nyumbani kwa mikono yote.

TAML mapambano yaendelee siku zote ukombozi una gharama zake tunakusihii usirudishe majeshi nyuma watanzania tuko nyuma yako, tuko nyuma yako kukemea udharimu ufanywao na serikali ya awamu ya tano.

Aluta Continua...
 
Matusi yanatoka wapi sasa?
Huu uzi hauhitaji watu wenye hasira na kuporomosha matusi.
Tulia sindano ikuingie upone ugonjwa wako wa kivuvuzela na huyo msaliti wako! Ungekuwa una uwezo ungenifuata ili uje ni kujambishe!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unalala ukijamba usiku na mchana bila bughudha,ukiwa hujui hata anayejulinda...halafu unalilia ukombozi gani mburula wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kangara ndiyo kwanza naisikia kutoka kwako mimi urabu wangu ni KAYOGA karibu sana hapa Kakonko centre tugide bonge la Kayoga
Mimi nimekurupuka lakini mwenzangu zaidi mpaka umefungua uzi hujui vice-chairman yuko wapi.ushauri wa bure wacha kugida kangara!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina maana amekuja kimya kimya? Vipi yale maandalizi ya mapokezi hapo Ufipa? Kweli Jiwe kiboko hadi 'shujaa' anarudi kwa kunyatianyatia!!!??
Usilojua.
Inaweza kuwa mbinu mpya, tena ya hatari zaidi kuliko unavyodhani.

Mwenye maguvu usitake kupambana naye kwa maguvu ambayo wewe huna. Tumia njia mbadala ya maguvu zitakazofanya kazi nzuri zaidi.
 
Kinyesi mtupu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu acha kuhangaika naye huyo nilichogundua ni kuwa aweza kuwa ni wale vijana wetu poa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…