Ama kweli huyu ni shujaa!.
P
Labda Rais wa Saccos inayokufa October 2020!
Mungu ni mkubwa! Aliamua asife ili aone maendeleo yanayopigwa hapa TZ ili aibike zaidi unaona hata sasa anaogopa kuja TZ kwa sababu anaona aibu kujionea maendeleo tulifikia TZ alitegemea nchi itaanguka hata hao wafadhiri wamemu ignore sana na propaganda zake.Mbinu zenu za kishetani zimegonga mwamba kwa kutaka kuondoa uhai wa Tundu
Hatuwezi ongozwa na vuvuzela msaliti afadhali kwenda porini tukachunge ng'ombe!Upende usipende huyo ndiyo rais wako maana mfungwa hachagui gereza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu uchawi ni technolojia ya Kiafrika usisumbuke sana mkuu!
Utakufa na stress mkuu kunywa maji. Wewe ulitaka lazima tupate hizo $190B tu. Kwa taarifa yako benefit tulizopata kwa sasa hivi ni zaidi ya hiyo $190B ila kwa kuwa akili yako ni fupi kama ulivyo mfupi ndiyo maana huwezi elewa na huyo msaliti mwenzio Lissu. Si mlisema tutashitakiwa na hizo Miga zenu! Sasa hamna tena hoja zaidi ya propaganda zenu tu. Ngoja tusubiri uchaguzi October 2020 tuifute kabisa hii Saccos na Mwenyekiti wenu wa kudumu ameshajua kuwa saccos ina kwenda kufutika TZ ndiyo maana akakimbia haraka haraka kwenda Mwanza kwenye Sherehe za Uhuru kwenda kuomba maridhiano kwa kuwa anaona mbeleni ruzuku ina kwenda kupotea! HAPA KAZI TU!
Mungu ni mkubwa! Aliamua asife ili aone maendeleo yanayopigwa hapa TZ ili aibike zaidi unaona hata sasa anaogopa kuja TZ kwa sababu anaona aibu kujionea maendeleo tulifikia TZ alitegemea nchi itaanguka hata hao wafadhiri wamemu ignore sana na propaganda zake.
Hatuwezi ongozwa na vuvuzela msaliti afadhali kwenda porini tukachunge ng'ombe!
Kwanini mlitaka kuondoa uhai wake?Mungu ni mkubwa! Aliamua asife ili aone maendeleo yanayopigwa hapa TZ ili aibike zaidi unaona hata sasa anaogopa kuja TZ kwa sababu anaona aibu kujionea maendeleo tulifikia TZ alitegemea nchi itaanguka hata hao wafadhiri wamemu ignore sana na propaganda zake.
Naona dili la kusaliti limedorola kwa hiyo ameamua kurudi kimya kimya.
Vipi kuhusu usalama wake, si alisema harudi mpaka ahakikishiwe kuwa atapewa ulinzi? Au ilikuwa mi mibweko ya mbwa asiye na meno [emoji28][emoji28]
Mkuu,Bahati mbaya huwa mnasahau mapema. By the way, huo Urais ungekuwa unapatikana kirahisi hivyo, unafikiri Mbowe angeucha abaki chamani tu? Tia akili kichwani dogo!!!
Kasome Biblia adhabu ya msaliti ni nini?Kwanini mlitaka kuondoa uhai wake?
Alikusaliti nini?Kasome Biblia adhabu ya msaliti ni nini?
Kumbe hujui basi. Ngoja ni lale tutachat kesho!Alikusaliti nini?
Mmekaririshwa hivyo bila kufahamu chochote. Kasome Biblia mtu mwenye tabia za kusema uongo kama zako anastahili adhabu gani?Kumbe hujui basi. Ngoja ni lale tutachat kesho!
Hujui kitu wewe!! Hebu niache nilale wewe nyumbz!Mmekaririshwa hivyo bila kufahamu chochote. Kasome Biblia mtu mwenye tabia za kusema uongo kama zako anastahili adhabu gani?
Ana kitambulisho cha NIDA?
Amesajiliwa kwenye mfumo mpya wa alama za vidole?
Mwisho 20/01/2019..hatuongezi hata sekunde.