Je, Lissu yupo nchini?

Kawadanganye mazuzu wenzako
HAKUNA KAMERA YOYOTE ILIYONG'OLEWA. HIZI NI NGONJERA ZA WAKATI ULE NA KAMWE HAWADHUBUTU KUZIRUDIA KWA SABABU WANAJUA UCHUNGUZI YPO TENA SANA WANASUBIRI WAHUSIKA WARUDI TZ MAMBO YA KIMAHAKAMA YAANZE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikubwa ni kuwa mh Lissu yu hai tena mwenye afya tele anasubiri kuapishwa kuwa rais wako hapo.
Hiyo dozi ya matusi bado haifikii uwezo wako kwa sababu unalipwa kwa kumwaga matusi kama ulivyosomea. Hizi ngonjera za mara walinzi waliondolewa, mara CCTV ziling'olewa ni makelele tu ya kutunga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu yu hai na baada ya uchaguzi wa 2020 ndiyo atakuwa rais

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…