Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 34,671
- 40,918
Tukiwa tunaelekea chaguzi za serikali za mitaa pamoja na ule uchaguzi mkuu,
Attention kubwa ya Chadema imehamia nje ya nchi kufuatilia na kussuport ziara zake.
Ikumbukwe kwamba wapiga kura wapo hapa nchini ingawa wahusika wanaweza kudai kuwa taarifa za ziara zake zinawafikia kwa ukamilifu.
Nguvu hizo na attention hiyo ingetumika hapa nchini walau hali ingekuwa tofauti, lakini kwa bahati mbaya sana, hali sio hiyo.
Tutegemee visingizio vya kila aina baada ya Chaguzi kuisha.
Tunamshukuru sana Lissu kwa kuwapoteza maboya wenzake.