Je, Lissu anaihujumu CHADEMA?

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,671
40,912
Tukiwa tunaelekea chaguzi za serikali za mitaa pamoja na ule uchaguzi mkuu,

Attention kubwa ya Chadema imehamia nje ya nchi kufuatilia na kussuport ziara zake.

Ikumbukwe kwamba wapiga kura wapo hapa nchini ingawa wahusika wanaweza kudai kuwa taarifa za ziara zake zinawafikia kwa ukamilifu.

Nguvu hizo na attention hiyo ingetumika hapa nchini walau hali ingekuwa tofauti, lakini kwa bahati mbaya sana, hali sio hiyo.

Tutegemee visingizio vya kila aina baada ya Chaguzi kuisha.

Tunamshukuru sana Lissu kwa kuwapoteza maboya wenzake.
 
Kati ya chadema na ccm nani wako busy na lisu? Tuanzie tu hapa jamii forum ni nani kati ya chadema na ccm kila siku wanaanzisha nyuzi za kumhusu lissu
 
Tukiwa tunaelekea chaguzi za serikali za mitaa pamoja na ule uchaguzi mkuu,

Attention kubwa ya Chadema imehamia nje ya nchi kufuatilia na kussuport ziara zake.

Ikumbukwe kwamba wapiga kura wapo hapa nchini ingawa wahusika wanaweza kudai kuwa taarifa za ziara zake zinawafikia kwa ukamilifu.

Nguvu hizo na attention hiyo ingetumika hapa nchini walau hali ingekuwa tofauti, lakini kwa bahati mbaya sana, hali sio hiyo.

Tutegemee visingizio vya kila aina baada ya Chaguzi kuisha.

Tunamshukuru sana Lisu kwa kuwapoteza MABOYA wenzake.
Wewe hata siasa haujui. Unajua matusi tu.
 
Kataaa kubali kuna watu wanashindwa kutekeleza majukumu yao ya ndoa kisa Hon. Tundu Lissu, Mbowe amepumzika kidogo. Yaani CCM nzima inatetemeshwa na watu wawili tu Lissu na Mbowe
 
Ulivyomtaja Lissu tu, moja kwa moja nikajua lazima uitaje CDM. Ujue ukimtaja Lissu ni umeitaja CDM, kwa kifupi Lissu ni CDM na CDM ni Lissu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom