Je, 'liquid protector' haina athari kwenye simu?

Je, 'liquid protector' haina athari kwenye simu?

Glass ni kila kitu ...me simu ilidondoka ikaweka mistar minne kwenye kioo nkajua imefika ndan nikakaa nayo ka miez miwil later nkaenda toa kuweka ingine you cant believe ile crack haikufika kwenye kioo then after simu ikawa mpya with no cracks
Kuliko kuweka hiyo Liquid nakushauri uweke 5D inafunika kioo kizima. Na kutoa ni kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo si nzuri unaeza shangaa simu imekufa kioo kwa juu haioneshi ila chini kwenye screen ishakufa

Nimeshuhudia jamaa yangu simu yake imeanguka haikuonesha hata dalili ya mchubuko ghafla ikazima kaenda kwa fund simu screen imekufa [emoji28][emoji28] tumieni glass protector ni nzuri zaid maana simu ikianguka force inakuwa applied direct kweny glass then kama force ni kubwa sana ndo itaingia kweny screen ila

Liquid protector force inakuwa applied direct kweny screen ndo maana unakuta protector iko vizur ila screen ishakufa



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simu ikipasuka ndo basi tena
Jiwekee zako protector za kawaida ikipasuka unabadili tu
 
Back
Top Bottom