Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,711
- 1,738
Wakuu,
Hivi sasa hapa Dar pana huduma hii ya uwekaji 'screen protector' kwenye simu kwa njia ya 'liquid'.
Sina tatizo na hiyo 'liquid' ila nachokitilia mashaka na jinsi ya uwekaji wake. Je, hauna athari yoyote kwenye simu?
Sent using Jamii Forums mobile app