atareee xan bab kwl uko vzrUna moyo wa ajabu kaka pamoja na kutendwa huko bado unaamini katika mapenzi,,hadi unasema unaomba hali isijirudie tena dooh kweli ya Mungu mengi
atareee xan bab kwl nmeaminUna moyo wa ajabu kaka pamoja na kutendwa huko bado unaamini katika mapenzi,,hadi unasema unaomba hali isijirudie tena dooh kweli ya Mungu mengi
Huyoo jamaa wa tukio hilo hajaotea bali kapotea aiseeeHa haaa haaaa nilidhani alisema potea!
Naupenda sana huu wimbo
Tutake radhi wapogoro mkuuWanawake wa kipogoro, kimanyema, kinyamwezi , kihehe...kwa limbwata hawajambo..
...Unaujua ukweli mkuu!...Tutake radhi wapogoro mkuu
Mhh sio kweli yalikuaga ya zamani hayo mambo ya kichwa cha peregeU
...Unaujua ukweli mkuu!...
We tutafungiwa jf bhana, usituchonganishe na mtukufu.Limbwata ipo ww huoni jiwe lilivyopagawa kwa bashite?
kuna lingine unashindiliwa kwenye chupa ya soda unaenea.Samahani! Hivi limbwata lipo la aina nyingi au nile tu la kulishwa nyama iliyohifadhiwa maeneo pendwa?
Duhh!! papuchi itanuka kama mzoga.Hahaha zipo nyingi ila wanasema hyo ya nyama ya chumvini ndo hukolea zaidi
Sina hakika juu ya kunuka kwa papuch,inaweza isinuke ila imegine nyama imewekwa huko papuchini saiku tatu alafu inaungwa vixurii unalishwa hyoDuhh!! papuchi itanuka kama mzoga.
Hivi mbaba anaweza kumfanyia mkewe? kama inawezekana itabidi niende mtwara faster.Bujibuji sikuwa ninaamini haya mambo lakini Wamakonde kutoka Ntwara mpaka Mozambique ni nyoko sana kwa mambo hayo.
Tena washenzi wale wanatumia miti tu. majani, magamba au mizizi na mganga wa kweli anakwambia utanipa asante ukifanikiwa.
duhhh,,,Sina hakika juu ya kunuka kwa papuch,inaweza isinuke ila imegine nyama imewekwa huko papuchini saiku tatu alafu inaungwa vixurii unalishwa hyo
Akikujibu nitag plzKwani mpaka leo bado hujawowa Bujibuji
Hahhahah huwa najua ni mtu mzima kumbe ni kaben10Akikujibu nitag plz
Kwani mimba zinakuwaje?Na hyo mimba uloletewa ilikuaje je uliilea au??
Na alijifungua??
Limbwata la kutiwa kwenye chupa ni hatari zaidi. Niliona kwenye move ya kinigeria.kuna lingine unashindiliwa kwenye chupa ya soda unaenea.
Kwani bujibuji unaishi mwenyewe?Mimi nililetewa hadi mimba nikasamehe, nilishafumania nikasamehe, nilishaitwa majina ya watu katikati ya game nikasamehe.
Sikujua kama ningeweza kuishi bila yule mdada, after six good yrs alipata mwanaume akaniacha nikaweweseka sana mikawa mlevi ni hatari kazini hawanielewi nikakonda kwa mawazo.
Huko alikoenda alitandikwaga hadi akang'olewa jino wengine hawataki ujinga. Akajaribu kurudi kwangu akakuta moyo umekunjamana namuona kama shetani kinyago. Kila nikikumbuka ile hali najiona jinsi nlivokuwaga mjinga.
Usicheze na mapenzi.
Namuomba Mungu hii hali isije ikanirudia tena kwa mwanamke nitayeishi nae.