Je, limbwata lipo?

Je, limbwata lipo?

Mimi nililetewa hadi mimba nikasamehe, nilishafumania nikasamehe, nilishaitwa majina ya watu katikati ya game nikasamehe.

Sikujua kama ningeweza kuishi bila yule mdada, after six good yrs alipata mwanaume akaniacha nikaweweseka sana mikawa mlevi ni hatari kazini hawanielewi nikakonda kwa mawazo.

Huko alikoenda alitandikwaga hadi akang'olewa jino wengine hawataki ujinga. Akajaribu kurudi kwangu akakuta moyo umekunjamana namuona kama shetani kinyago. Kila nikikumbuka ile hali najiona jinsi nlivokuwaga mjinga.

Usicheze na mapenzi.

Namuomba Mungu hii hali isije ikanirudia tena kwa mwanamke nitayeishi nae.
Umeleta mrejesho ki aina
 
Mashabiki wa yanga walijaribu kutupa limbwata ikashindikana.
IMG-20180429-WA0049.jpg
 
Back
Top Bottom