Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,432
- Thread starter
- #101
Njoo Basi unipe limbwataKwani bujibuji unaishi mwenyewe?
Njoo Basi unipe limbwataKwani bujibuji unaishi mwenyewe?

pole sana mkuuMimi nililetewa hadi mimba nikasamehe, nilishafumania nikasamehe, nilishaitwa majina ya watu katikati ya game nikasamehe.
Sikujua kama ningeweza kuishi bila yule mdada, after six good yrs alipata mwanaume akaniacha nikaweweseka sana mikawa mlevi ni hatari kazini hawanielewi nikakonda kwa mawazo.
Huko alikoenda alitandikwaga hadi akang'olewa jino wengine hawataki ujinga. Akajaribu kurudi kwangu akakuta moyo umekunjamana namuona kama shetani kinyago. Kila nikikumbuka ile hali najiona jinsi nlivokuwaga mjinga.
Usicheze na mapenzi.
Namuomba Mungu hii hali isije ikanirudia tena kwa mwanamke nitayeishi nae.
Asante sana mkuupole sana mkuu
Hayo malimbwata wangekuwa wanayatumia kutafutia hela wangekuwa mbali sanaUsiombe hiyo kitu ni mateso makali
PoleNishawahi Lishwa limbwata na kadada ka kazi nikawa nakapenda mpaka kana nipangia mda wa kurudi nyumbani na wakati mwingine nakakuta kametoka guest ya jirani na mwanaume afu kana nifokea kama mtoto huyu ni mjomba wee tangulia nyumbani namsindikiza mjomba wako, nilikaa nae zaidi ya miaka mitatu ilifika wakati ananiambia wewe huwezi kuniacha labda nikuache mwenyewe.
Lakini Mungu ni mwema nilipo mchukia sikuhitaji hata kumuona nikamfukuza siku namtimua akaniambia kuwa yeye aliniloga kwa BABU YAKE WA IGUGUNO SINGIDA ili afanikishe mambo yake Lakini ametokea kunipenda sikumuelewa tena ila nilipitia mateso makali sana na dhuruma ya vitu.
Mungu aniepushe nisije pata mke tapeli kama yule ilifika kipindi ananikosea nalia kama mtoto.
USIOMBE LIMBWATA LA WANYATURU- SINGIDA
ila avator yako bila kuzoom inaonekana kama .....!Ntakuekea
Faida ni true love.. Hasara ni ugumu wa kuachana... Ni vigumu mno na Maumivu yake hayamithilikiNini faida Na hasara zake?
Ntakutambulisha kwa shemeji wako mpyaFaida ni true love.. Hasara ni ugumu wa kuachana... Ni vigumu mno na Maumivu yake hayamithiliki