Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,634
- 697,845
Jo nimestaafu naona huna habariHuyu Mshana jr ni mganga wa kienyeji!
Jo nimestaafu naona huna habariHuyu Mshana jr ni mganga wa kienyeji!
Mwenyekiti wako yupo huko Manara!Msemaji mpya wa uto fc
Ndio jamhuri ya wapi hiyoMwenyekiti wako yupo huko Manara!
Hongera bwashee.Jo nimestaafu naona huna habari
Vyura fc!Ndio jamhuri ya wapi hiyo
Ni kweli kabisa japo picha za kwanza kabisa zilitoka kwanguHongera bwashee.
Kumbe ndio maana tukio la juzi la Sauli hapo Kibaha hukujihusisha nalo!
HahahahaVyura fc!
kinyume cha chuki ni upendo.....kwa hiyo gwajima ana kifanywa mpaka ampende?.....wewe una mpenda? Sawa Au yeye anakupenda! Ivo Mnapendana.Usimchukie sana Gwajima kiasi hicho. Itakupa matatizo ya moyo... Mimi huwa tu natoa ushauri wa kitaalamu.
Pole dada... Huna sababu ya kuteseka hivi. Maisha hayataki chuki. Tafuta pesa tu utajikuta Huna muda wa kumchukia mtu.kinyume cha chuki ni upendo.....kwa hiyo gwajima ana kifanywa mpaka ampende?.....wewe una mpenda? Sawa Au yeye anakupenda! Ivo Mnapendana.
Sasa km ni ivo mapenzi yenu yanatuhusu nini humu Jf?..
Wewe huna ukoo na nungunungu kweli?Bwashee kuna lingine?
nipoleke? Lo0or!! Niteseke tena?? Wewe rudisha akili sawa!! Af urudi tena...Pole dada... Huna sababu ya kuteseka hivi. Maisha hayataki chuki. Tafuta pesa tu utajikuta Huna muda wa kumchukia mtu.
DHAMBI gani Hamza Katenda?Akiwa ibadani kanisani kwake wiki mbili zilizopita askofu Gwajima alitabiri kutokea kwa tukio kubwa nchini
Je tukio lenyewe ndio hii dhambi aliyotenda Hamza?
Mauwaji!
🤣🤣🤣Ungemwambia mtu akuandikie vizurinipoleke? Lo0or!! Niteseke tena?? Wewe rudisha akili sawa!! Af urudi tena...
Nafute hela ili iweje?? Nani alikudanganya?
Akili ndogo zinajulikana tu, na haijawahi kushindana na akili kubwa kamwe!!.🤣🤣🤣Ungemwambia mtu akuandikie vizuri
Tulivo = tulivyoAkili ndogo zinajulikana tu, na haijawahi kushindana na akili kubwa kamwe!!.
Hata uwezo wa kujiongeza tu? Ma- idealistic tunajijua, ndo tulivo!! Wajinga hutuonaga tumechanganyikiwa.