Je, lile tukio kubwa alilotabiri askofu Gwajima ndio hili la Hamza?

Hawa manabii waliobemendwa wanaharibu sana wananchi.
Mungu hutoa vipawa pasi na kipimo, hii maana yake ni kwamba Mungu akikuonyesha jambo kama atakuambia limefungwa yaani ni siri basi litabaki ndani yako tu.
Hawezi kukupa unabii nusunusu uwafikishie watu. Never.
Eti hawa manabii walevi wa sehemu za siri wakiota utusitusi tu wanakuja kuwatabiria waumini wao ambao ni brain washed
 
Usimchukie sana Gwajima kiasi hicho. Itakupa matatizo ya moyo... Mimi huwa tu natoa ushauri wa kitaalamu.
kinyume cha chuki ni upendo.....kwa hiyo gwajima ana kifanywa mpaka ampende?.....wewe una mpenda? Sawa Au yeye anakupenda! Ivo Mnapendana.
Sasa km ni ivo mapenzi yenu yanatuhusu nini humu Jf?..
 
kinyume cha chuki ni upendo.....kwa hiyo gwajima ana kifanywa mpaka ampende?.....wewe una mpenda? Sawa Au yeye anakupenda! Ivo Mnapendana.
Sasa km ni ivo mapenzi yenu yanatuhusu nini humu Jf?..
Pole dada... Huna sababu ya kuteseka hivi. Maisha hayataki chuki. Tafuta pesa tu utajikuta Huna muda wa kumchukia mtu.
 
Pole dada... Huna sababu ya kuteseka hivi. Maisha hayataki chuki. Tafuta pesa tu utajikuta Huna muda wa kumchukia mtu.
nipoleke? Lo0or!! Niteseke tena?? Wewe rudisha akili sawa!! Af urudi tena...
Nafute hela ili iweje?? Nani alikudanganya?
 
🤣🤣🤣Ungemwambia mtu akuandikie vizuri
Akili ndogo zinajulikana tu, na haijawahi kushindana na akili kubwa kamwe!!.
Hata uwezo wa kujiongeza tu? Ma- idealistic tunajijua, ndo tulivo!! Wajinga hutuonaga tumechanganyikiwa.
 
Akili ndogo zinajulikana tu, na haijawahi kushindana na akili kubwa kamwe!!.
Hata uwezo wa kujiongeza tu? Ma- idealistic tunajijua, ndo tulivo!! Wajinga hutuonaga tumechanganyikiwa.
Tulivo = tulivyo
Ndo = ndio/ndiyo
Hutuonag= hutuona

Fanyia kazi hayo mambo halafu ukiiva uje ukaribie lile jukwaa la wasomi. If you cant use Swahili at least use English.
 
Back
Top Bottom