Je, lile tukio kubwa alilotabiri askofu Gwajima ndio hili la Hamza?

Hana chochote cha maana anachojua zaidi ya kutumia mwavuli wa dini kujilinda na kuficha madhaifu yake.
 
Akiwa ibadani kanisani kwake wiki mbili zilizopita askofu Gwajima alitabiri kutokea kwa tukio kubwa nchini

Je tukio lenyewe ndio hii dhambi aliyotenda Hamza?
yaani wakristo mna tabu,kwanini Hawa mataperi kina gwajima wameshika akili zenu?! Eti alitabiri tukio
 
Ni mbinu wa hao wahubiri. Wanatabiri kitu bila kutaja specifics. Kama hakuna kinchotokea, basi, utabiri utasahauliwa bila madhara. Kama kitu fulani kinatokea wanasema "Nilitabiri!!!"
Ilhali hawataji specifics, utabiri unaweza kulingana na mengi. "Kitu kikubwa, wakati ujao"
 
Back
Top Bottom