Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,724
- 2,855
Pole kwa jasusi la beberu?Kwanini usiulize,je Magufuli ana wivu na Lissu?maana ameshindwa hata kumpa pole.
Wacha hiyo pole ikae tu.
Pole wanapewa wazalendo.
Pole kwa jasusi la beberu?Kwanini usiulize,je Magufuli ana wivu na Lissu?maana ameshindwa hata kumpa pole.
Sidhani kama Lissu anaweza kumuonea wivu muuaji.Kila nikifuatilia mazungumuzo ya Lissu haishi kumtaja Magufuli. Kwa haraka haraha ninaweza sema kwamba katika mazungumuzo ya wazi wazi Lissu hajawahi maliza maongezi bila kumtaja Magufuli...
Unajenga inter.airport porini kweli??
Well, ile ni regional airportUnajenga inter.airport porini kweli??
Kweli!? Kama Mbeligiji vile anavyotia huruma kwa Wanasheria wake!!Maskini,unatia huruma.ccm oyee
SwadaktaaLissu anapomtaja anayemuhisi kutoa maagizo ya yeye kupigwa risasi hakosi kumtaja JIWE.
Kwahiyo Jiwe ndio suspect no 1 wa ile september 7 Dodoma.
Kama huyu hapaKuna mambo huwa yananichanga sana yaani sanaa
Kila uchaguzi kuna chama cha Kijani kinadai kinatuletea Tanzania Mpya.
Nafikiri huwa wanamaanisha upya wa matatizo, ujinga na umaskini.
Fikiria kwa miaka 55+ sasa - wanasema tusichague wengine kwa kuwa wataondoa amani lakini wakati chini ya utawala wao wa kiimla tuna WASIOJULIKANA,VIROBA FUKWENI, Disapperance of Azory , kutapeliwa korosho zetu, Kuvunjwa haki za binadamu na sheria mbaya za ovyo ovyo
Hili Sasa Povu bro!!Shoga mwenye
Kila nikifuatilia mazungumuzo ya Lissu haishi kumtaja Magufuli. Kwa haraka haraha ninaweza sema kwamba katika mazungumuzo ya wazi wazi Lissu hajawahi maliza maongezi bila kumtaja Magufuli.
Nimekaa nikawaza kwamba Lissu hana jema lolote analojivunia toka kwa Magufuli tangu dunia iumbwe?
Lissu anakosoa kila kitu alicho fanya Magufuli kule Chato ikiwemo Uwanja wa Ndege, Mbuga za Wanyama n.k.. Hii inamaana Lissu anafurahia kuona namna ambavyo Nyerere aliondoka na kuacha Musoma na Butiama haina Maji? Lissu anawivu na Magufuli kiasi kwamba haachi kumchafua? Je kwa kumchafua Magufuli atapata kura za kutosha kwenda ikulu?
Swali langu la Msingi ni hili. Lissu anatoka Singida, Akichaguliwa hatopeleka kabisa maendeleo pale Singida? .
Lisu Hawezi peleka chochote Singida akiwa mbunge tu hajawahi ongelea maendeleo ya singidaSwali langu la Msingi ni hili. Lissu anatoka Singida, Akichaguliwa hatopeleka kabisa maendeleo pale Singida? .
Alafu kwa nini CDM ni watu wa hasira sana,tena hasa wakisikia jina la Magufuli lazima walipuke kwa hasiraa ya kubwatuka!?Shoga mwenye
Hana jema alilotendewa na Magufuri ? Kupigwa risasi 16 , kunyimwa matibabu , kunyimwa mshahara , kufukuzwa ubunge ,kunyimwa stahiki zake .Kila nikifuatilia mazungumuzo ya Lissu haishi kumtaja Magufuli. Kwa haraka haraha ninaweza sema kwamba katika mazungumuzo ya wazi wazi Lissu hajawahi maliza maongezi bila kumtaja Magufuli.
Nimekaa nikawaza kwamba Lissu hana jema lolote analojivunia toka kwa Magufuli tangu dunia iumbwe?
Lissu anakosoa kila kitu alicho fanya Magufuli kule Chato ikiwemo Uwanja wa Ndege, Mbuga za Wanyama n.k.. Hii inamaana Lissu anafurahia kuona namna ambavyo Nyerere aliondoka na kuacha Musoma na Butiama haina Maji? Lissu anawivu na Magufuli kiasi kwamba haachi kumchafua? Je kwa kumchafua Magufuli atapata kura za kutosha kwenda ikulu?
Swali langu la Msingi ni hili. Lissu anatoka Singida, Akichaguliwa hatopeleka kabisa maendeleo pale Singida? .
Je Mungu ana wivu ana wivu na shetani .Kila nikifuatilia mazungumuzo ya Lissu haishi kumtaja Magufuli. Kwa haraka haraha ninaweza sema kwamba katika mazungumuzo ya wazi wazi Lissu hajawahi maliza maongezi bila kumtaja Magufuli.
Nimekaa nikawaza kwamba Lissu hana jema lolote analojivunia toka kwa Magufuli tangu dunia iumbwe?
Lissu anakosoa kila kitu alicho fanya Magufuli kule Chato ikiwemo Uwanja wa Ndege, Mbuga za Wanyama n.k.. Hii inamaana Lissu anafurahia kuona namna ambavyo Nyerere aliondoka na kuacha Musoma na Butiama haina Maji? Lissu anawivu na Magufuli kiasi kwamba haachi kumchafua? Je kwa kumchafua Magufuli atapata kura za kutosha kwenda ikulu?
Swali langu la Msingi ni hili. Lissu anatoka Singida, Akichaguliwa hatopeleka kabisa maendeleo pale Singida? .
Siyo wivu, Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kukubali kuongozwa na Jiwe, Mtu KILAZA mpaka anatia kinyaa yanKila nikifuatilia mazungumuzo ya Lissu haishi kumtaja Magufuli. Kwa haraka haraha ninaweza sema kwamba katika mazungumuzo ya wazi wazi Lissu hajawahi maliza maongezi bila kumtaja Magufuli.