Je, kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu?

Je, kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu?

Mleta mada mbona unatumia mafumbo sana.

Unamaana ndio sababu DR akaacha vile vyeo vyake vingine vyote ili akamilishe ukombozi?

Mpango wa mungu siku zote malengo yake ni kumfanya binaadamu afkie lengo la kuupata ufalme wa mbinguni na wala sio malengo ya kidunia kama ilivyo CDM. Angalia usije ukaibua mengine hapa! warning.
 
Kimeletwa na Mungu yupi sasa? Wa waislamu,baniyani au wakristo?
 
100%. Tumeteseka sana na hawa mafisadi. Watu wanajifungulia sakafuni, watoto wa shule za msingi na secondary wanasoma kwa tabu sana inatia uchungu watoto wadogo wasio jua lolote wanapata shida mno kwenye nchi yao. Nchi imejaliwa rasilimali za kutosha ila ndo hivyo wajanja wachache wanazizomba. Kenya wanaangalia ni kwa jinsi gani wanaweza kuendeleza sekta ya elimu sisi tunaweka mawaziri wasiojua hata umuhimu wa elimu. Laki yote haya yana mwisho hata tulioko huku nje tunapigana kuhakikisha nchi inakombolewa kwenye mikono ya mafisadi. Tumechoka tumechoka hadi kieleweke
 
Mleta mada mbona unatumia mafumbo sana.

Unamaana ndio sababu DR akaacha vile vyeo vyake vingine vyote ili akamilishe ukombozi?

Mpango wa mungu siku zote malengo yake ni kumfanya binaadamu afkie lengo la kuupata ufalme wa mbinguni na wala sio malengo ya kidunia kama ilivyo CDM. Angalia usije ukaibua mengine hapa! warning.
chama kinaongozwa na mtu alie asi na mmiliki danguro halafu anatuambia kimeletwa na mungu.hizi zambi zingine ni za kujitakia
 
Utawala wa serikali ya CCM unafanana na ule utawala wa Farao!

Watanzania wa leo hawana tofauti na waliokuwa wana wa Israeli.

Mungu habagui kwani wote sisi kwake ni sawa!

Aliwakomboa watu wa mataifa mengine na sasa ni Tanzania.
 
Binafsi naamini uwepo wa chama cha Demokrasia na Maendeleo nchini(CHADEMA) ni matokeo ya mwenyezi Mungu kusikia kilio cha watanzania cha muda mrefu cha kuondokana na utawala wa CCM.

Hii ndio maanana CHADEMA ni tofauti na vyama vingine vyote vya upinzani nchini.Kinahimili misukosuko yote kwa nguvu za Mungu na hakika kitawakomboa watanzania dhidi ya kunyanyaswa,kuibiwa,kudhulumiwa,kuonewa na kila aina ya udhalimu anaoupata mtanzania wa leo.

Ujasiri wa viongozi na wabunge wa CHADEMA ni mpango mahususi wa mwenyezi Mungu kama ilivyokuwa mpango wa Mungu kumtuma Mussa kuwaokoa wana wa Israeli.

Usibishe kabla ya kutafakari kwa makini.

Nawasilisha.
kumhusisha Mungu katika mambo ambayo Mwenyezi amkupa kufikiri ni upofu wa matarajio yajayo.

Kwa mantiki hiyo sidhani kama mmetumwa na Mungu katika kuingia siasa maana kama mngetumwa kufaya hivyo viongozi wenu wasingevamia wake za watu na kuiba ruzuku.

Mnapanda mbegu za ufashisti wa kujiaminisha kuwa mambo maovu mnayoyaona ndio mema kwenu na mnayabariki.
Poleni kwa msimamo huo wa kishetani.
 
Wafuasi wengi wa cahdema wanaamini hivyo. Ndio maana hawatulizi akili kusikiliza kama chadema inaongea jambo lolote la msingi, wao wanafuata tu kwa sababu wanaamini viongozi wa chadema ni mitume iliyoletwa na Mungu. Hii haijatokea accidentaly, chadema inaratibu mbinu mbalimbali za kuwalaghai watu kuwa Mungu kawatuma wao kwao.

Hii ni hali ya kawaida kwa chama kisichokuwa na sera inayouzika kuanza kutumia imani za watu kuwalaghai. Tatizo kubwa la tabia hii ni kwamba watu wengi wanaamini Mungu kupitia tasisi za imani za kiroho, kwahiyo tabia hii ya ulaghai wa chadema inaiweka jamii katika tension ya siasa za imani za kiroho.
 
Kiufupi tunatakiwa tuelewe nini maana ya chama.
CCM kimekuwa chama cha mafisadi wachache wanatubia sisi watz.
CHADEMA sijui nieleze vipi ila ni chama cha watz hakina mmiliki tunakimiliki na kukiongoza sote.
Ndo maana tunasikilizana, tunapiga hatu.
Tembo warudi, wanasaifirisha nje warudishwe, mikataba mibovu ya kina Chenge ifutwe.
Hela zetu Swiss zirudishwe. Na kama chama hiki sio cha mafisadi huu ni mwezi wa pili tangu mikataba ya kichina isiiniwe iko wapi sisi wananchi tuijadili.
Mafisadi mafisadi tumechoka huyu mkoloni mweusi tutamwondoa tuu is just a matter of time.

chama kinaongozwa na mtu alie asi na mmiliki danguro halafu anatuambia kimeletwa na mungu.hizi zambi zingine ni za kujitakia
 
Laiti ungelijua how tired we are with those fisadis, is just a matter of time. Tumechoka tumechoka ila kitaeleweka. Wa book 7 endeleeni na kazi ila sisi tunapambana usiku na mchana tena tukiwa nje ndo tunapambana haswa.

Wafuasi wengi wa cahdema wanaamini hivyo. Ndio maana hawatulizi akili kusikiliza kama chadema inaongea jambo lolote la msingi, wao wanafuata tu kwa sababu wanaamini viongozi wa chadema ni mitume iliyoletwa na Mungu. Hii haijatokea accidentaly, chadema inaratibu mbinu mbalimbali za kuwalaghai watu kuwa Mungu kawatuma wao kwao.

Hii ni hali ya kawaida kwa chama kisichokuwa na sera inayouzika kuanza kutumia imani za watu kuwalaghai. Tatizo kubwa la tabia hii ni kwamba watu wengi wanaamini Mungu kupitia tasisi za imani za kiroho, kwahiyo tabia hii ya ulaghai wa chadema inaiweka jamii katika tension ya siasa za imani za kiroho.
 
Hivi Mungu anaweza kuleta chama kisha kiongozi mkuu wa chama akawa DJ?anamiliki danguro!!?
na msaidizi wake ni mzinifu wa kujitangazia hassa!eti mchumba wangu!
 
Yale yale.....lol! mlisema Kikwete chaguo la mungu ss hv chadema. kazi ipo, yangu macho
 
Huyu mungu basi atakuwa dhaifu amekubali kuwa chama cha upinzani.
 
Wajinga wanafikiri UDINI ni pale unaenda kwenye nyumba za ibada na kuanza kuomba kura au kuchaguliwa kwa misingi ya imani.

MADA kama hii ni sumu mbaya katika jamii kwa sababu huu ndiyo UDINI. PURE & SIMPLE.

Huu ni ubaguzi wa kiwango cha juu kwa misingi ya UDINI kama mistari ya maandishi inavyojieleza.

UMESOMEKA.
 
Hii thread inatoa picha kamili na rangi kamili ya cdm na malengo yao, na inaonyesha cdm kipo kwa ajili ya watu wa dini gani, huhitaji phd kujua chadema wakoje
 
Binafsi naamini uwepo wa chama cha Demokrasia na Maendeleo nchini(CHADEMA) ni matokeo ya mwenyezi Mungu kusikia kilio cha watanzania cha muda mrefu cha kuondokana na utawala wa CCM.

Hii ndio maanana CHADEMA ni tofauti na vyama vingine vyote vya upinzani nchini.Kinahimili misukosuko yote kwa nguvu za Mungu na hakika kitawakomboa watanzania dhidi ya kunyanyaswa,kuibiwa,kudhulumiwa,kuonewa na kila aina ya udhalimu anaoupata mtanzania wa leo.

Ujasiri wa viongozi na wabunge wa CHADEMA ni mpango mahususi wa mwenyezi Mungu kama ilivyokuwa mpango wa Mungu kumtuma Mussa kuwaokoa wana wa Israeli.

Usibishe kabla ya kutafakari kwa makini.

Nawasilisha.
Hiki chama ni cha kidini,tumeshakishtukia,hata maneno ya wshabiki wake ni ya kidini,tuwe makini wa Tanzania.
 
Binafsi naamini uwepo wa chama cha Demokrasia na Maendeleo nchini(CHADEMA) ni matokeo ya mwenyezi Mungu kusikia kilio cha watanzania cha muda mrefu cha kuondokana na utawala wa CCM.

Hii ndio maanana CHADEMA ni tofauti na vyama vingine vyote vya upinzani nchini.Kinahimili misukosuko yote kwa nguvu za Mungu na hakika kitawakomboa watanzania dhidi ya kunyanyaswa,kuibiwa,kudhulumiwa,kuonewa na kila aina ya udhalimu anaoupata mtanzania wa leo.

Ujasiri wa viongozi na wabunge wa CHADEMA ni mpango mahususi wa mwenyezi Mungu kama ilivyokuwa mpango wa Mungu kumtuma Mussa kuwaokoa wana wa Israeli.

Usibishe kabla ya kutafakari kwa makini.

Nawasilisha.

Mbinu hizi Kakobe zilimshindwa sasa kaimngia mitini Chadema haitaingia madarakani kupitia imani hizi za unabii..
 
Mleta mada mbona unatumia mafumbo sana.

Unamaana ndio sababu DR akaacha vile vyeo vyake vingine vyote ili akamilishe ukombozi?

Mpango wa mungu siku zote malengo yake ni kumfanya binaadamu afkie lengo la kuupata ufalme wa mbinguni na wala sio malengo ya kidunia kama ilivyo CDM. Angalia usije ukaibua mengine hapa! warning.

Chama cha kidini hiki,tumekishtukia.
 
Utawala wa serikali ya CCM unafanana na ule utawala wa Farao!

Watanzania wa leo hawana tofauti na waliokuwa wana wa Israeli.

Mungu habagui kwani wote sisi kwake ni sawa!

Aliwakomboa watu wa mataifa mengine na sasa ni Tanzania.
Chama cha kidini,muwe,makini.
 
Back
Top Bottom