Husomeki!
Ni kwa ajili ya Kalagabaho mkuu, yupo kama vile ameingiwa na pepo aina ya nape au mwigulu
Husomeki!
kawaida yenu hata huyo kikwete mnaemfanyia majungu si mlimuita chaguo la mungu tumewashtukia ndo gia yakuteka wapumbavu wenzenuNi jambo lililowazi kuwa CCM hawafanikiwa katika propaganda zao chafu dhidi ya CHADEMA si tu kutokana umahiri wa viongozi wa CHADEMA, bali hata mwenyezi Mungu yuko upande wa mamilioni ya watanzania wanaoteseka na kunyanyasika chini ya utawala huu dhalimu wa CCM.
Mifano ipo mingi ya jinsi Mungu anavyowaumbua hawa watu.Kwa mfano,utajiuliza Mwigulu alikuwa na ulazima gani wa kutamka kwenye TV(Star TV) kuwa anamiliki CD ikiwaonyesha viongozi wa CHADEMA wakipanga mauaji?Jibu ni kwamba mwenyezi Mungu kawanyima maarifa na badala yake wanafanya mambo ambayo mwisho wa siku wanaishia kuumbuka tu.Kauli ile ya Mwigulu ni kosa kubwa kwa mazingira ya sasa ya hii kesi.
Hata mauaji ya Daudi Mwangosi yamefanyika katika mazingira ya kuwaumbua watawala hawa!
Mlolongo wa matukio ya CCM kuumbuka ni mengi na yote ni kwasababu mwenyezi Mungu anawanyima maarifa na si vinginevyo.
Siku zote CCM huwa nawafananisha na wale waliokuwa wajenzi wa "mnara wa babeli" ambao mwenyezi Mungu aliwapiga laana na wakajikuta hawaelewani katika lugha.Tofauti kati yao na hawa CCM ni ndogo tu, badala ya mwenyezi Mungu kuwafanya wasiongee lugha moja, alichokifanya kwa hawa CCM ni kuwanyima maarifa tu.
Mambo wanayoyafanya kwakweli ni ya kipuuzi kanakwamba ni mambo yanayofanywa na watoto wa darasa la kwanza!
CCM hamshindani na CHADEMA bali mnashindana na Mungu!
Swali,je,mtaweza?
Usikariri maandiko,unatakiwa uelewewe!
Duh! hapa ni full kufuru! kumbe ndo maana hata mnalopanga linabuma! big up Chadema tujiweke karibu na Mwenyezi Mungu kwani Inanilah MaswabirinaNa bado wanaendelea kumuamini huyo Mungu anayeshindwa kila siku!...
Duh! hapa ni full kufuru! kumbe ndo maana hata mnalopanga linabuma! big up Chadema tujiweke karibu na Mwenyezi Mungu kwani Inanilah Maswabirina
Duh,'Mungu' anaibiwa kura,anapora mke wa mtu, anasaliti taaluma yake kwa tamaa ya ngono, anasambaratishwa kwenye maandamano, anafadhili mpango wa kuteka na kudhuru. Basi CCM inauwezo mkubwa sana
Ni jambo lililowazi kuwa CCM hawafanikiwa katika propaganda zao chafu dhidi ya CHADEMA si tu kutokana umahiri wa viongozi wa CHADEMA, bali hata mwenyezi Mungu yuko upande wa mamilioni ya watanzania wanaoteseka na kunyanyasika chini ya utawala huu dhalimu wa CCM.
Mifano ipo mingi ya jinsi Mungu anavyowaumbua hawa watu.Kwa mfano,utajiuliza Mwigulu alikuwa na ulazima gani wa kutamka kwenye TV(Star TV) kuwa anamiliki CD ikiwaonyesha viongozi wa CHADEMA wakipanga mauaji?Jibu ni kwamba mwenyezi Mungu kawanyima maarifa na badala yake wanafanya mambo ambayo mwisho wa siku wanaishia kuumbuka tu.Kauli ile ya Mwigulu ni kosa kubwa kwa mazingira ya sasa ya hii kesi.
Hata mauaji ya Daudi Mwangosi yamefanyika katika mazingira ya kuwaumbua watawala hawa!
Mlolongo wa matukio ya CCM kuumbuka ni mengi na yote ni kwasababu mwenyezi Mungu anawanyima maarifa na si vinginevyo.
Siku zote CCM huwa nawafananisha na wale waliokuwa wajenzi wa "mnara wa babeli" ambao mwenyezi Mungu aliwapiga laana na wakajikuta hawaelewani katika lugha.Tofauti kati yao na hawa CCM ni ndogo tu, badala ya mwenyezi Mungu kuwafanya wasiongee lugha moja, alichokifanya kwa hawa CCM ni kuwanyima maarifa tu.
Mambo wanayoyafanya kwakweli ni ya kipuuzi kanakwamba ni mambo yanayofanywa na watoto wa darasa la kwanza!
CCM hamshindani na CHADEMA bali mnashindana na Mungu!
Swali,je,mtaweza?
Utake usitake,habari ndio hiyo!Acheni kumkufuru Mungu

Wewe si kondoo wa zizi hili! Mungu wa CHADEMA ni mungu wa msalaba!
Acheni kumkufuru Mungu