Je, kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu?

Je, kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu?

ha! haa! haaa! unajua kuchekesha kweli wewe! eti siku inakuja haiko mbali! na usiombee ifike maana ikifika Padri slaa atakua ndani siku nyingi kwa kula njama za kuua watanzania wasio na hatia!

Mwaka 2005 ushindi wa kimbunga 80% miaka mitano baadae ushindi wa kuchakachua 61% piga hesabu 2015 zitakuwa % ngapi?
 
Mbona huweki asilimia za chama cha wauaji hapa? weka halafu tuanze mjadala!
 
Ni jambo lililowazi kuwa CCM hawafanikiwa katika propaganda zao chafu dhidi ya CHADEMA si tu kutokana umahiri wa viongozi wa CHADEMA, bali hata mwenyezi Mungu yuko upande wa mamilioni ya watanzania wanaoteseka na kunyanyasika chini ya utawala huu dhalimu wa CCM.

Mifano ipo mingi ya jinsi Mungu anavyowaumbua hawa watu.Kwa mfano,utajiuliza Mwigulu alikuwa na ulazima gani wa kutamka kwenye TV(Star TV) kuwa anamiliki CD ikiwaonyesha viongozi wa CHADEMA wakipanga mauaji?Jibu ni kwamba mwenyezi Mungu kawanyima maarifa na badala yake wanafanya mambo ambayo mwisho wa siku wanaishia kuumbuka tu.Kauli ile ya Mwigulu ni kosa kubwa kwa mazingira ya sasa ya hii kesi.

Hata mauaji ya Daudi Mwangosi yamefanyika katika mazingira ya kuwaumbua watawala hawa!

Mlolongo wa matukio ya CCM kuumbuka ni mengi na yote ni kwasababu mwenyezi Mungu anawanyima maarifa na si vinginevyo.

Siku zote CCM huwa nawafananisha na wale waliokuwa wajenzi wa "mnara wa babeli" ambao mwenyezi Mungu aliwapiga laana na wakajikuta hawaelewani katika lugha.Tofauti kati yao na hawa CCM ni ndogo tu, badala ya mwenyezi Mungu kuwafanya wasiongee lugha moja, alichokifanya kwa hawa CCM ni kuwanyima maarifa tu.

Mambo wanayoyafanya kwakweli ni ya kipuuzi kanakwamba ni mambo yanayofanywa na watoto wa darasa la kwanza!

CCM hamshindani na CHADEMA bali mnashindana na Mungu!

Swali,je,mtaweza?

Hata wao muda c mrefu watakosa kuelewana lugha. Upandacho m2 ndicho utakachovuna. Subiri mwezi m1 utackia
 
Mtoa mada upo sahihi kabisa, Mungu ataadhibu na kukilaani kizazi chote cha utawala huu dhalimu wa CCM. Amen
 
Mbona huweki asilimia za chama cha wauaji hapa? weka halafu tuanze mjadala!

Nimeamua kuweka za chama chako kitakachotawala milele, ili uone jinsi gani kabla milele haijatimia kinavyoporomoka kwa kasi, halafu sijajua chama cha wauaji ni kipi.....ufafanuzi mkuu.
 
Tatizo kubwa ni kuwa hata watu ambao ccm inawategemea kwenye ishu zao walishachoshwa na utawala wa ccm wamebaki kukubali usoni ila moyoni wanaipinga ndo maana mipango yao mingi inavurugika.
 
Huyo Mungu wa Chadema mbona ameshashindwa na kulegea siku nyingi? wee huoni mnavyoaibika?

Ww ni mbulula No1,yaani kwa akili yako unaona anayeaibika daily ni CHADEMA?Eee MUNGU TUJAALIE VYOTE VILIVYO VYEMA NA VYA KHERI BILA KUSAHAU AKILI,BUSARA NA WEREVU.
 
Nimeamua kuweka za chama chako kitakachotawala milele, ili uone jinsi gani kabla milele haijatimia kinavyoporomoka kwa kasi, halafu sijajua chama cha wauaji ni kipi.....ufafanuzi mkuu.

Muulize Lwakatare anajua mengi kuhusu mauaji ya wanaharakati wa nchi hii! aah samahani kumbe yupo selo mpaka april3? basi kamuulize bosi wake Slaa atakupa majibu sahihi kbs
 
Ww ni mbulula No1,yaani kwa akili yako unaona anayeaibika daily ni CHADEMA?Eee MUNGU TUJAALIE VYOTE VILIVYO VYEMA NA VYA KHERI BILA KUSAHAU AKILI,BUSARA NA WEREVU.

sio kuaibika tuu mtaumbuka sana sasa hivi!..halafu mungu huwa hapokei dua za kibw..ge kama hizo wewe
 
Mshikaji utakuwa unamapepo, manake hii ni zaidi ya ushabiki wa ccm. U must be possessed by a demon!
 
Ni jambo lililowazi kuwa CCM hawafanikiwa katika propaganda zao chafu dhidi ya CHADEMA si tu kutokana umahiri wa viongozi wa CHADEMA, bali hata mwenyezi Mungu yuko upande wa mamilioni ya watanzania wanaoteseka na kunyanyasika chini ya utawala huu dhalimu wa CCM.

Mifano ipo mingi ya jinsi Mungu anavyowaumbua hawa watu.Kwa mfano,utajiuliza Mwigulu alikuwa na ulazima gani wa kutamka kwenye TV(Star TV) kuwa anamiliki CD ikiwaonyesha viongozi wa CHADEMA wakipanga mauaji?Jibu ni kwamba mwenyezi Mungu kawanyima maarifa na badala yake wanafanya mambo ambayo mwisho wa siku wanaishia kuumbuka tu.Kauli ile ya Mwigulu ni kosa kubwa kwa mazingira ya sasa ya hii kesi.

Hata mauaji ya Daudi Mwangosi yamefanyika katika mazingira ya kuwaumbua watawala hawa!

Mlolongo wa matukio ya CCM kuumbuka ni mengi na yote ni kwasababu mwenyezi Mungu anawanyima maarifa na si vinginevyo.

Siku zote CCM huwa nawafananisha na wale waliokuwa wajenzi wa "mnara wa babeli" ambao mwenyezi Mungu aliwapiga laana na wakajikuta hawaelewani katika lugha.Tofauti kati yao na hawa CCM ni ndogo tu, badala ya mwenyezi Mungu kuwafanya wasiongee lugha moja, alichokifanya kwa hawa CCM ni kuwanyima maarifa tu.

Mambo wanayoyafanya kwakweli ni ya kipuuzi kanakwamba ni mambo yanayofanywa na watoto wa darasa la kwanza!

CCM hamshindani na CHADEMA bali mnashindana na Mungu!

Swali,je,mtaweza?

"Usilitaje bure jina la Mungu wako"
 
sio kuaibika tuu mtaumbuka sana sasa hivi!..halafu mungu huwa hapokei dua za kibw..ge kama hizo wewe

Tuchubili tuone wa kuaibika na kuumbuka nani ndipo ----- mtoseni tutamjua.,JE WAJUA,"VIONGOZI WENGI WA DINI NI MABWEGE KWA KUIBEBA CCM"Sasa unawaambiaje waumini wao wanapofuatilia dua zao na kuamini MUNGU MWENYE ENZI NA ENZI atazipokea???
 
Back
Top Bottom