PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,455
Mungu ni kichaka cha wazembe na wanaotaka ku manipulate wenzao.
ooo mola wetu msaidie mtu huyu maana hajui alisemalo.
Mungu ni kichaka cha wazembe na wanaotaka ku manipulate wenzao.
Mungu baba mwenyezi alioziumba mbingu na nchi na aliyemuumba Godbless lema ndio Mungu wa CHADEMA.
GOD OF US IS THE OF CHADEMA.
Sio yule mungu anayeishi mjini Makka?
Kama huna hoja, bora ukae kimya!Duh,'Mungu' anaibiwa kura,anapora mke wa mtu, anasaliti taaluma yake kwa tamaa ya ngono, anasambaratishwa kwenye maandamano, anafadhili mpango wa kuteka na kudhuru. Basi CCM inauwezo mkubwa sana
Duh,'Mungu' anaibiwa kura,anapora mke wa mtu, anasaliti taaluma yake kwa tamaa ya ngono, anasambaratishwa kwenye maandamano, anafadhili mpango wa kuteka na kudhuru. Basi CCM inauwezo mkubwa sana
Duh,'Mungu' anaibiwa kura,anapora mke wa mtu, anasaliti taaluma yake kwa tamaa ya ngono, anasambaratishwa kwenye maandamano, anafadhili mpango wa kuteka na kudhuru. Basi CCM inauwezo mkubwa sana
Ni jambo lililowazi kuwa CCM hawafanikiwa katika propaganda zao chafu dhidi ya CHADEMA si tu kutokana umahiri wa viongozi wa CHADEMA, bali hata mwenyezi Mungu yuko upande wa mamilioni ya watanzania wanaoteseka na kunyanyasika chini ya utawala huu dhalimu wa CCM.
Mifano ipo mingi ya jinsi Mungu anavyowaumbua hawa watu.Kwa mfano,utajiuliza Mwigulu alikuwa na ulazima gani wa kutamka kwenye TV(Star TV) kuwa anamiliki CD ikiwaonyesha viongozi wa CHADEMA wakipanga mauaji?Jibu ni kwamba mwenyezi Mungu kawanyima maarifa na badala yake wanafanya mambo ambayo mwisho wa siku wanaishia kuumbuka tu.Kauli ile ya Mwigulu ni kosa kubwa kwa mazingira ya sasa ya hii kesi.
Hata mauaji ya Daudi Mwangosi yamefanyika katika mazingira ya kuwaumbua watawala hawa!
Mlolongo wa matukio ya CCM kuumbuka ni mengi na yote ni kwasababu mwenyezi Mungu anawanyima maarifa na si vinginevyo.
Siku zote CCM huwa nawafananisha na wale waliokuwa wajenzi wa "mnara wa babeli" ambao mwenyezi Mungu aliwapiga laana na wakajikuta hawaelewani katika lugha.Tofauti kati yao na hawa CCM ni ndogo tu, badala ya mwenyezi Mungu kuwafanya wasiongee lugha moja, alichokifanya kwa hawa CCM ni kuwanyima maarifa tu.
Mambo wanayoyafanya kwakweli ni ya kipuuzi kanakwamba ni mambo yanayofanywa na watoto wa darasa la kwanza!
CCM hamshindani na CHADEMA bali mnashindana na Mungu!
Swali,je,mtaweza?
Duh,'Mungu' anaibiwa kura,anapora mke wa mtu, anasaliti taaluma yake kwa tamaa ya ngono, anasambaratishwa kwenye maandamano, anafadhili mpango wa kuteka na kudhuru. Basi CCM inauwezo mkubwa sana
Huyo Mungu wa Chadema mbona ameshashindwa na kulegea siku nyingi? wee huoni mnavyoaibika?
Mungu wa kutengeneza sumu na kuwapa watu wakaue atakuwa mungu wa baali aka chemical ally
Time wili tell!
Hata Makaburu walikuwa na kauli za kejeli kama hizi, na sio hao tu mkumbuke pia mpwa wenu Gadafi, lakini mwisho wa siku aibu tupu, usiamini kauli za Nape eti CCM itatawala milele labda imtawale yeye milele lakini sio WATANZANIA......siku inakuja na haiko mbali.
kuna muda mwingine zaidi ya huu mnaoutumia kuua watu?
Kama huna hoja, bora ukae kimya!