Maseto
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 944
- 546
- Thread starter
- #81
maseto naona cdm wamekugusa mpaka umeogopa pale jina la mwenyezi mungu, mungu wa ibrahimu, isaka na yakobo linapotajwa; nguvu za giza ulizonazo zinapotea zote. Pole sana. Hakika cdm wana mungu wakati ccm wana fedha na uchawi; hizi ni nguvu mbili ambazo haziwezi kukaa sehemu moja. Lazima moja ikimbie. Hivyo bwana maseto najua ulivurumishwa na nguvu ya cdm waliposema "sisi tuna mungu" hivyo una-appeal ili wakati mwingine upate upenyo wa kuwadhuru cdm. Nakukemea katika jina la mungu aliye umba mbingu na nchi.
amina!amina"amina!