IFUNYA
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 363
- 132
Wakuu naomba tuzidi kukiombea CHADEMA kwa Mola kisonge mbele wala wasikatishwe tamaa. Sisi wote tupo hapa kwa mapenzi yake Mola. Siku yeyote akiamua Mola hakuna wa kumpinga.
CHADEMA ombeni mpaka Mola atapokea sala zenu. Leo nimeenda kanisani kuombea nchi yetu ili iwe na amani na pia Mungu amsaidie Rais wetu katika maamuzi ya kuongoza watanzania asiburuzwe na mafisadi.
Pasaka njema wanaJF.