Je, kwanini 'Urais' wa Zanzibar umemkubali na kumpendeza kwa 'haraka' sana Dkt. Hussein Ally Hassan Mwinyi?

Haina haja ya kwenda Mahakamani,Mkuu,..

kwetu sisi yashatushia tumemuachia Mungu, kama kawaida yetu..

Endeleeni kutawala..
Kama hauna ushahidi si busara kutoa tuhuma nzito kama hizo Mkuu.
 
Kama hauna ushahidi si busara kutoa tuhuma nzito kama hizo Mkuu.
Mkuu,hizi sio tuhuma,huu ni ukweli kila Mzanzibari anaujua kila Mtanzania anaujua..

Kwani sio kweli Mwinyi alikuwa Waziri wa Ulinzi,kwani uongo Wapemba wameuliwa na Majeshi

Kwani uongo CCM walikuwa wamejipanga kwa chochote kile kitakachotokea,alimradi wao watawale tu

Zile Barrier,vizuizi mlivyovitengeneza, raha Leo karibu na Radio Zanzibar na Benki kuu ya Zanzibar vya nini..

Mlijua hamtoshinda,mlijua watu wata fanya fujo,..mlijitayarisha kwa mambo mengi mpaka kuleta Majeshi..

Sub Sahara Africans, Sub human being,Mkuu Waafrika bado kujitawala, Uchaguzi umekuwa vita
 
"Benki Kuu ya Zanzibar" imeundwa lini hii Mkuu.

Kama upo confident na ushahidi wako Mahakama zipo Mkuu.
 
Naona kama vile Urais wa Zanzibar ulikuwa unamsubiria kwa hamu Dkt. Hussein Ally Mwinyi kutokana na kwamba 'umempendeza' na 'unampendeza' halafu ameuvaa na wenyewe pia umemvaa vyema na kwa haraka sana kuliko hata 'Marais' wengine waliomtangulia. Watangulizi wake wengi 'Urais' wa Zanzibar ilionekana kama vile walikuwa 'wameubaka' tu na wenyewe ulikuwa 'hauwataki' kabisa.

Je, ni kwanini 'Urais' umemkubali kwa haraka mno Rais Dkt. Hussein Mwinyi? Je, tuanze sasa kuamini kuwa 'Urais' ni Zawadi yake Mwenyezi Mungu kwa Watu wake 'Maalum' tu? Sijajua pia kama na Waziri Mkuu mmoja nae ikitokea akaachiwa 'Zigo' zito na gumu la Tanzania Bara hapo 2025 na 'Mkemia' wa Geita nae 'utampendeza' na 'kumkubali' kwa haraka kama wa Visiwani Zanzibar
What do you smoke over there? Urais umemkubali, ndio nini hasa? unajuaje kama mtu uraisi umemkubali, unampima mtu kivipi? Unachovuta kimeanza kukuathiri kiakili.
 
"Benki Kuu ya Zanzibar" imeundwa lini hii Mkuu.

Kama upo confident na ushahidi wako Mahakama zipo Mkuu.
Pbz kinazini, Sijui Kama inaitwa Benki kuu au Benki ya Zanzibar,mtajijua Wenyewe

Ukweli nyinyi ni wauwaji,na mtafanya chochote ili mkae Madarakani..

Mko tayari hata kuuwa Wazanzibari wote ili mkae Madarakani.

Mmelelewa kwa vichapo,wazazi wenu wamefikisha ujumbe kwenu kwa kuwaadhibu na kuwapiga

Sasa mmepata Madaraka,mnafikisha ujumbe kwa mmaowangoza kwa vichapo na vitisho..

Unakumbuka ule msemo.."mtoto umliavyo ndivyo akuavyo"..

Waafrika chini ya jangwa la Sahara hatuna uwezo wa kujitawala,..

Uchaguzi uwekuwa vita, Uchaguzi umekuwa uadui..baba hakosolewi,mlivyo lelewa ndivyo mnavyo ongonza..

Hussein Mwinyi ana damu mikononi mwake,ni muuwaji, The Hague inamuhusu..

Alikuwa Waziri wa Ulinzi, yeye ndie aliepeleka Majeshi Pemba,kuwauwa Wapemba
 
Naona kama vile Urais wa Zanzibar ulikuwa unamsubiria kwa hamu Dkt. Hussein Ally Mwinyi kutokana na kwamba 'umempendeza' na 'unampendeza' halafu ameuvaa na wenyewe pia umemvaa vyema na kwa haraka sana kuliko hata 'Marais' wengine waliomtangulia. Watangulizi wake wengi 'Urais' wa Zanzibar ilionekana kama vile walikuwa 'wameubaka' tu na wenyewe ulikuwa 'hauwataki' kabisa.

Je, ni kwanini 'Urais' umemkubali kwa haraka mno Rais Dkt. Hussein Mwinyi? Je, tuanze sasa kuamini kuwa 'Urais' ni Zawadi yake Mwenyezi Mungu kwa Watu wake 'Maalum' tu? Sijajua pia kama na Waziri Mkuu mmoja nae ikitokea akaachiwa 'Zigo' zito na gumu la Tanzania Bara hapo 2025 na 'Mkemia' wa Geita nae 'utampendeza' na 'kumkubali' kwa haraka kama wa Visiwani Zanzibar.
Sababu anaelewa anatakiwa kufanya nini. Maneno hayalipiwi ila vitendo
 
Kuanza kumsifia mwanaume mwenzio na kumtamani inaanza kutupa shida. Pole sana.
Usidhani kwakuwa Wewe ni 'Shoga' basi kila Mtu hapa JF 'Mawazo' yake kila mara yanakuwa ni ya 'Kinyabenga' tu. Nenda 'Kanyabeliwe' zako huko.
 
Usidhani kwakuwa Wewe ni 'Shoga' basi kila Mtu hapa JF 'Mawazo' yake kila mara yanakuwa ni ya 'Kinyabenga' tu. Nenda 'Kanyabeliwe' zako huko.
Wewe ndio shoga , musoma yote tunakufahamu na hata shughuli zako za ujuaji hapua Dar ni ushoga na kujipendekeza. Tutarusha picha zako ufahamike. Snitch mkubwa kumbe huna unachojua mkwaya wewe.
 
Back
Top Bottom