Brain Kingdom
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 7,004
- 14,551
Ndugu wadau wote wapenda amani naomba msaada wa post yoyote iwe maandishi au video ya mdude ambayo ilipelekea kutafutwa ama kuuliziwa na Afande Shabani na Afande Veda.
Tafadhari itusaidie kujua chagizo la kupelekea hadi kuvunjiwa mageti na milango ili wampate.
Tafadhari ndugu zangu si kwa Ubaya recently sikupata kumsikia mdude akitrend kwa Matamshi Mabaya.
Natanguliza shukrani
Mungu ni wetu sote na habagui, yeye ni WA Jana, Leo , kesho na hata milele na ni yeye tu ajuaye yote