Je! kwa Kariakoo, ni mtaa gani naweza pata pete ya uchumba?

Una kichwa kigumu sana kuelewa.. ebu soma tena comment yangu..

Usinijibu mm, mjibu mwenye mada apate pete anayohitaji.
Ujuaji wako haunisaidii. Msaada wako ambae ww ni muelewa uelekeze kwa mtoa mada. nafikili mchango wako utakua na tija sana kwenye huu uzi
 
Ila kumbuka yote kwa yote Mwanaume anatakiwa kuvaa silver na mwanamke ni gold,usije changanya ukavaa gold mtoto wa kiume maumbile yako yakageuka
 
Back
Top Bottom