Je! kwa Kariakoo, ni mtaa gani naweza pata pete ya uchumba?

pascal luoga

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
232
257
Habari wana Jamiiforums wote,
Swal langu ni

Je! kwa Kariakoo, ni mtaa gani naweza pata pete ya uchumba ama ya ndoa original gold or silver??


Msaada wandugu.

Note.. MTAA
 
Habari wana J forum wote,
Swal langu ni

Je! kwa kariakoo, ni mtaa gani naweza pata pete ya uchumba ama ya ndoa original gold or silver??


Msaada wandugu.

Note.. MTAA
Mkuu, ebu achana na madude ya ajabu hayo....
Nakushauri uingie kwa sonara, kama hauna fungu la kutosha basi chongesha hata silver
 
Je! kwa kariakoo, ni mtaa gani naweza pata pete ya uchumba ama ya ndoa original gold or silver??
Note.. MTAA
Mtaa wa Mkunguni, unaoanzia sokoni yanapopaki magari ya Tegeta hadi Mnazi Mmoja kituo cha Baridi. Hapo katikati kuna maduka kadhaa ya sonara
 
Back
Top Bottom