Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Eti mke wangu akikubali nitajua cha kufanya.... Ingebidi nimweke chini kwanza huyo mume kwa macho makavu anieleze fahamu zake kaweka akiba wapiMmh kanichoshajeee
Eti mke wangu akikubali nitajua cha kufanya.... Ingebidi nimweke chini kwanza huyo mume kwa macho makavu anieleze fahamu zake kaweka akiba wapiMmh kanichoshajeee
Aah unajua unaweza ukashindwa hata kumuuliza, ukabaki unashangaa kapata wapi akili za kipumbavu hivyo. Mmh sipati pichaEti mke wangu akikubali nitajua cha kufanya.... Ingebidi nimweke chini kwanza huyo mume kwa macho makavu anieleze fahamu zake kaweka akiba wapi
Na kweli unaweza kujiuliza huyu mwanaume kawaje! Ila inatia hasira mwanaume kutojielewaAah unajua unaweza ukashindwa hata kumuuliza, ukabaki unashangaa kapata wapi akili za kipumbavu hivyo. Mmh sipati picha
Aiseee mambo mengine yanashangaza aisee mwanaume mpumbavu hawez kumshirikisha mwanamke swala kama hilooMkuu Daudi1 Sina mda wa kupoteza kwa kuandika mambo ya uongo wakati kuna mambo mengi ya kufanya, kifupi ni kuwa wakati wanakutana walikuwa wote hawana kazi na mwanaume alikuwa anampango wa kurist mtihani kweli akifanya hivyo na kubahatika kufauru na hivi sasa anasubili ajira za serikali ambazo zimechelewa. Hata hivyo akiwa likizo akampa mimba mke aliyenae na kulazimika kusoma akiwa na mke wakati huo mawasiliano yakiwepo baina yao . Ukweli wa mambo ni kuwa mwanamke humchukia mwanaume akimtendea jambo baya lkn kwa ndugu yangu alikubali mimba yake na waliendelea kuwasiliana mpaka leo
Hii ni stori ya kutunga.....
1. Hivi kuna mwanamke anaweza kumpigia simu mke wa mtu na kuomba ridhaa ya kuzaa na mume wake???
2. Hivi kuna mume anaweza kumshirikisha mkewe ktk swala la Mpango wa Kando???
3.
4.
Mkuu mzee, mashaka uliyonayo una haki ya kusema hivyo hata mimi sikulaumu ila ukweli ya mambo uko hivi, Ndugu yangu alikuwa mkweli kwa mkewe kuwa ana mtoto nje ya ndoa yao ili mtoto huyo wa nje awe na haki ktk familia yao. Kupitia mwanya huo Mzazi mwenzie amekuwa akimpigia kila mara akimpa taarifa na maendeleo ya mtoto huko aliko mda wowote na wakati wowote.
Lkn shemu akaona hiyo ni dharau akampiga marufuku kumpigia usiku na badala yake awe anapiga mchana tu na kweli hilo lilifanyika na kila akipiga simu aliomba aongee na mke mwenzie huyo ambae ni shemeji yangu na wakati mwingine akimkosa Mzazi mwenzie alimtafta kupitia simu ya mke wake.
Kumbe huyo mwanamke alikuwa na moja kichwani ambayo ndio hiyo iliyotokea na kuleta sintofahamu baina yao, na kwa sasa mawasiliano yamepunguwa baada ya Mzazi mwenzie na ndugu yangu kusema nae kuhusu kumtaka mme wake.
Hiki ni kisa cha kweli na kimetokea na kuvuruga familia ya ndugu yangu mpaka sasa maelewano yamekuwa adimu baina ya wanandoa Hao
JF imevamiwa.
Ni sawa na ile story yako, sema wewe una busara, ungekuwa mpumbavu ungemwambia rafiki yako "kaombe ruhusa kwa mume wangu"..teh teh!Sijamuelewa kabisa huyu jamaa yako alikua anataka ku prove nini kwa huyo mkewe ,ivi alitaka aonekane mwema,aonekane kweli,au aonekane hachepuki? hao ndio wale wanaojichimbia kaburi wenyewe ivi kweli unakubalije kumshirikisha mkeo kwenye jambo kama hilo? mwabie akilala alale na nguo,maji ya moto yasije kumuhusu.....asisahau kumwambie mkewe alie mfundisha maji asiite mma pia amjulishe nani,looooo Asara..........
Kiongozi afadhali wewe umemwelewa. mi hata sijapata kitu.Umesahau kutuambia umri wa wahusika ili tuelewe, na ndoa yao ni ya mke mmoja au wake wengi?
Btw all this story is childish and rubbish, kuna vitu vinavyohitaji ushauri lakini siyo utoto kama huu.
Yani amenichosha nafsi yangu huyu jamaa,nakunipa maswali unajua zamani kabla sijaolewa na mazingira nilioishi kwa wazee wangu nilikua najua mwanamme hua hakosei ovyo na nimtu wakuheshimiwa sana,akisema wewe unakaa kimnyaNi sawa na ile story yako, sema wewe una busara, ungekuwa mpumbavu ungemwambia rafiki yako "kaombe ruhusa kwa mume wangu"..teh teh!
Hapa kuna viazi mbatata vitatu, tuvichemshe au tukaange tule.
Kuna ulazima wa wewe kutumia lugha ya kuudhi big fat idiotUmesahau kutuambia umri wa wahusika ili tuelewe, na ndoa yao ni ya mke mmoja au wake wengi?
Btw all this story is childish and rubbish, kuna vitu vinavyohitaji ushauri lakini siyo utoto kama huu.
Sio dharau jamaniii,Heaven nawe? hapo inatakiwa mbegu tu na wala sio mahusiano au mautamu bhana,mimi natoa ushauri, ni hivi huyo kidume cha mbegu apige nyeto halafu amwage mbegu kwenye bomba ya kalamu halafu ampelekee huyo mamii,nae achomeke hiyo bomba kunako ,baaaasi atakuwa amejaa.Yani kuishi na mume mpumbavu ni shida jamani. Seriously ina maana mkewe akiridhia basi yeye yupo radhi kuzaa na baby momma wake? Hivi mtu anaanzaje kunipigia eti nimruhusu azae na mume wangu khaaaaaaaaaaaaa. Hiyo dharau hapana
Akatafute mbegu nyingine huko, lazima mbegu za mume wa mwenzieSio dharau jamaniii,Heaven nawe? hapo inatakiwa mbegu tu na wala sio mahusiano au mautamu bhana,mimi natoa ushauri, ni hivi huyo kidume cha mbegu apige nyeto halafu amwage mbegu kwenye bomba ya kalamu halafu ampelekee huyo mamii,nae achomeke hiyo bomba kunako ,baaaasi atakuwa amejaa.