hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,622
- 63,119
Noted ... but uwage unakuja basi kwenye mada za kisayansi pia.. huwa tunahitaji mchango wako piaNikae pembeni kwa kumuogopa nani?
Wewe usiyeweza kujibu swali ndiye wa kukaa pembeni.
Huna ubavu wa kunifanya mimi nikae pembeni.