Je kusudi la Mungu kumuunba mwanadamu ilikuwa ni lipi kati ya haya mawili?

Kiti Chema

JF-Expert Member
Oct 18, 2017
1,791
1,940
Wanajamvi habarini wote.
Mimi ninaswali ambalo linanitatiza kiimani, kama kichwa cha habari kinavyo uliza.
Hivi kusudi la mungu kumuumba mwanadamu ilikuwa ni 1. Nikufanya kazi au 2. Kumwadundu mungu.
Kwa sababu ninaposoma katika kitabu cha mwanzo naona alimuumba adamu harafu akamkabidhi bustani aitunze but kitu kinachonitatiza sikuona mahara ambapo mungu anamuagiza kuwa adamu amuabudu. Sijajua kwa vitabu vingine kutoka imani tofauti kuhusu uumbaji wa mungu.
NAHITAJI KUELIMISHWA
 
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo na hizo ulizosoma si hadithi za kuungaunga tu ulizoandikiwa na watu tu?
 
Wanajamvi habarini wote.
Mimi ninaswali ambalo linanitatiza kiimani, kama kichwa cha habari kinavyo uliza.
Hivi kusudi la mungu kumuumba mwanadamu ilikuwa ni 1. Nikufanya kazi au 2. Kumwadundu mungu.
Kwa sababu ninaposoma katika kitabu cha mwanzo naona alimuumba adamu harafu akamkabidhi bustani aitunze but kitu kinachonitatiza sikuona mahara ambapo mungu anamuagiza kuwa adamu amuabudu. Sijajua kwa vitabu vingine kutoka imani tofauti kuhusu uumbaji wa mungu.
NAHITAJI KUELIMISHWA
Inaonekana wewe ni mvivu kusali au suo
 
Ndugu yangu Biblia sio kitabu cha tamthilia au newspaper na kama ivyo ndivyo unavyosoma ningumu kuielewa.
Kitabu cha Mwanzo kwenye Biblia ni mangamuzi ya wana wa Israeli pindi wapo jangwani juu ya uumbaji wa ulimwengu.
Nakushauli ungejalibu kutafuta usaidizi kwa wakufunzi wa Biblia na maandiko ya kale ya wana wa Israeli wakusaidie .
Agano la kale liliandikwa kwa lugha ya kiebrania , kwa hiyo ni muhimu kupata reference from the original source ili uelewe vizuri.
 
Wanajamvi habarini wote.
Mimi ninaswali ambalo linanitatiza kiimani, kama kichwa cha habari kinavyo uliza.
Hivi kusudi la mungu kumuumba mwanadamu ilikuwa ni 1. Nikufanya kazi au 2. Kumwadundu mungu.
Kwa sababu ninaposoma katika kitabu cha mwanzo naona alimuumba adamu harafu akamkabidhi bustani aitunze but kitu kinachonitatiza sikuona mahara ambapo mungu anamuagiza kuwa adamu amuabudu. Sijajua kwa vitabu vingine kutoka imani tofauti kuhusu uumbaji wa mungu.
NAHITAJI KUELIMISHWA
Lengo asilia la kuumbwa binadamu ni KUTAWALA ndugu yangu
 
Lengo la Mungu kutuumba sisi halijulikani na halitokaa lijulikane. Lengo la yeye kutuumba analijua yeye.
Kuna mtu aliwahi kuandika humj kwa kutolea mfano wa mkulima na mmea wa karanga. Mkulima akipanda karanga yeye ndiye anayejua ni kwa nini amepanda karanga lakini ule mmea wa karanga hauwezi jua chochote hadi unanyauka. Ubongo wako umekuwa programed kuelewa vitu kwa ukomo. Hilo unalotaka kulifahamu wewe liko nje ya uwezo wako. Hayo mengine sijui kufanya kazi sijui kumuabudu ni sisi kujipendekeza kwetu tu.
Wewe ishi tu mzee baba.
 
Haah! Haah!
 
Wanajamvi habarini wote.
Mimi ninaswali ambalo linanitatiza kiimani, kama kichwa cha habari kinavyo uliza.
Hivi kusudi la mungu kumuumba mwanadamu ilikuwa ni 1. Nikufanya kazi au 2. Kumwadundu mungu.
Kwa sababu ninaposoma katika kitabu cha mwanzo naona alimuumba adamu harafu akamkabidhi bustani aitunze but kitu kinachonitatiza sikuona mahara ambapo mungu anamuagiza kuwa adamu amuabudu. Sijajua kwa vitabu vingine kutoka imani tofauti kuhusu uumbaji wa mungu.
NAHITAJI KUELIMISHWA
Wee ni Mkurya wa wapi?
 
Kwasababu
1.Imempendeza yeye Mungu.
2.Wewe umpende yeye kwa akilizako zote, uwezo wako wote, nguvu zako zote, na wakati wako wote.
3. Ili aishi vizuri na wewe, muongee, mufulahi, mufanye kazi, mushikiane pamoja kwa upendo na amani.

Endelea kumshukuru basi kwa kazi yake nzuri, maana amekuwekea kila kitu kizuri ukitumie bure kabisa.
Kama, chakula, maji, hewa, mwanga, huyo mwenza wako na familia yako, nk.
Amekupa pia bure, uwezo na umbile la kukuwezesha kuishi duniani kama vile, Akili, Busara, macho, miguu, pua, mdomo, meno nk.
Mwisho amekuahidi kwenda kuishi naye na kutawala maisha ya milele na milele bure kabisa.
Na mengine mengi mazuri ambaye mimi siyajui.

Makofi basi ya shukrani kwa Mungu wetu kwa kufanya hayo yenye manufaa kwetu ambayo sisi wenyewe hatuwezi kuyafanya.

Kujisifu na tujisifu sisi tunaemjua Mungu huyu, mwenye upendo usiopimika
Cc wote wanaomjua na kumpenda Mungu.
 
Kila kitu kingeandikwa kwenye biblia ingekuwa kubwa sana.

Wewe ulipozaliwa hakuna mtu alikwambia ulie au unyonye lakini automatic ukajiongeza.

Jiongeze.
Achen propaganda jibu swali kama lilivyo ulizwa sio "kila kitu kingeandikwa kwenye biblia ingekuwa kubwa". Ili jibu waga la kukwepa kuhojiwa tu.. Ni bora ingekua kubwa kwa ukubwa wake ili maswali ya siwepo basi. Hivi unataka niambia kitabu cha wimbo uliobora kinasamani sana kuwepo kuliko kitabu cha maisha ya yesu?
 
Lengo la Mungu kutuumba sisi halijulikani na halitokaa lijulikane. Lengo la yeye kutuumba analijua yeye.
Kuna mtu aliwahi kuandika humj kwa kutolea mfano wa mkulima na mmea wa karanga. Mkulima akipanda karanga yeye ndiye anayejua ni kwa nini amepanda karanga lakini ule mmea wa karanga hauwezi jua chochote hadi unanyauka. Ubongo wako umekuwa programed kuelewa vitu kwa ukomo. Hilo unalotaka kulifahamu wewe liko nje ya uwezo wako. Hayo mengine sijui kufanya kazi sijui kumuabudu ni sisi kujipendekeza kwetu tu.
Wewe ishi tu mzee baba.
hahaha hahaa....
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom