Je kuringa kwa wanawake inasaidia kupata wanaume wa maana?

green:Kasome uelewe vizuri, Mwanamke sio kijakazi kwako. Mungu alimuumba mwanamke toka Ubavuni kwako ili umpende na kumlinda, sio miguuni ili umkanyage.

kiri kwa kauli yako kuwa mumeo anapaswa kukutawala ila asikudharau hilo ni sahihi kama Nabii Malachi asemavyo katika kitabu chake sura ya 2:14-16..............God seeks godly offspring..................and men should not deal treacherously with the wife of their youth .................

Kwa iyo tudandie kila gari? Mengine magumegume tunayapotezea kwa full mashauzi?
ka unavyonifanyia mimi?
acha mzaha bhana.............
wanaume wengine huwa tunatongoza kimzaha lakini tunamaanisha tunachokisema............

asipo ringa ananiboa kweli kweli,akiringa tu... ndo hanibooooi,atakua ananiongeza ushu....``aringe tu bana ili tofauti iwepo kati ya sholi na mme.

mmmmhh ngoja tuzungumzie mapenzi labda ndio tunayoyaweza, siasa zimetushinda, maskini weee wanafuturu kesho bei ya ile mboga itapanda tena....kwanini wasiendelee kufunga tu??

kiri kwa kauli yako kuwa mumeo anapaswa kukutawala ila asikudharau hilo ni sahihi kama Nabii Malachi asemavyo katika kitabu chake sura ya 2:14-16..............God seeks godly offspring..................and men should not deal treacherously with the wife of their youth .................

we nawe una mambo ya kizamaani....nitawaliwe ili iweje...!! Hakuna kutawaliwa kwenye mapenzi na raha ya mwanamke kuringaaa....

sasa uringe halafu uwe mzuri ila unaringa wakati hata sura yenyewe mbovu kabisa!

Kumbe ndo ulikuwa unamaanisha hivi......

Na wote unaokutana nao, naombea wakuringie mwanzo mwisho, hadi ubadilishe mtazamo na kauli zako kama hizi.

Hata kama mimi lazima nikuringie kwa style yako hii............

Kuringa kwa mwanamke ni kawaida,sasa unataka wawe wakavu ka wanaume?wameunbwa hivyo.

ka unavyonifanyia mimi?

acha mzaha bhana.............

wanaume wengine huwa tunatongoza kimzaha lakini tunamaanisha tunachokisema............

kaka bado unakomaa na beibii.wacha akuringie mpaka uchoke mwinyewe

Kumbe ndo ulikuwa unamaanisha hivi......

Na wote unaokutana nao, naombea wakuringie mwanzo mwisho, hadi ubadilishe mtazamo na kauli zako kama hizi.

Hata kama mimi lazima nikuringie kwa style yako hii............

naona LD kakutouch sana,vp una katabia hako ka kuringa kihovyo huku unajisikia nini?mbona umewaka sana

sasa uringe halafu uwe mzuri ila unaringa wakati hata sura yenyewe mbovu kabisa!

daah! this crap again? Nlishaanza kuiona hii thred in mwelekeo mzuri kwani wachangiaji wameipa uzito, ila wewe unataka kuiharibu. Umeshaleta uzi kama huwezi kuunenepesha kwa post zenye mashiko, kaa kimya usikilikize watu wakilumbana kwa hoja.

Kumbe ndo ulikuwa unamaanisha hivi......

Na wote unaokutana nao, naombea wakuringie mwanzo mwisho, hadi ubadilishe mtazamo na kauli zako kama hizi.

Hata kama mimi lazima nikuringie kwa style yako hii............

...lol...mwanamke kumringia mwanaume ni jambo zuri, sasa naona yeye anataka mwanamke akimwonesha kinywa chake tu basi amkubalie, jambo ambalo siyo jema. mwanamke ukipata nafasi ya kuringa mbele ya mwanaume ringa bila waswas.

mmmmhh ngoja tuzungumzie mapenzi labda ndio tunayoyaweza, siasa zimetushinda, maskini weee wanafuturu kesho bei ya ile mboga itapanda tena....kwanini wasiendelee kufunga tu??

Naona umeikimbia siasa ukaja huku, lakini kwa hizo mboga unazoleta hapa, naona na hapa patakushinda!

kwa style hii ungekua demu ungepigwa pumbu mpka masikion! dada zako wanayo kz!

..beibe akiringa ringa pia inaongeza kasi ya kumtupia madini ya kueleweka.. af ukimpata sasa inakuwa mzuka sana! "Ila aringe kiasi kuchuja wazee wa kubeep, siyo aringe mpaka kero"

Similar Discussions

Back
Top Bottom