Je, kuna watu wanaumia juu ya hii picha?

Kwani chuki ipo au haipo na kama ipo, ipo kwa kina nani?

wakati ukuta.

1. Ukiwa na maarifa na ufahamu mkubwa Wa kuhoji masuala mbalimbali ƴa nchi na taifa, CCM watasemai wewe si raia, umetumwa, msaliti, unachafua nchi, si mzalendo. Na huongea haya huku wamekunja nyuso zao ƙuashiria kuwa wako tayari kutoa roho watu kisa mnatofautiana mawazo na mitazamo!
 
Lisu alisema anataka serikali isisaidiwe chochote na Wahisani,Chakushangaza kabla wahisani hawajazuia misaada kwa serikali tayari yeyeLisu anaomba misaada kwa Watanzania walewale ambao ame kataa isi saidiwe na wahisani.
Sasa cha kujiuliza kama nchi ikinyimwa iyo misaada ya maendeleo anaye athililika si mwananchi ambaye Lisu anaomba wamsaidie kumchangia ada za watoto?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao hao wakiwakosoa mnawaita mabeberu lkn mkiwa mnawaomba msaada mnawaita waheshimiwa
Lisu alisema anataka serikali isisaidiwe chochote na Wahisani,Chakushangaza kabla wahisani hawajazuia misaada kwa serikali tayari yeyeLisu anaomba misaada kwa Watanzania walewale ambao ame kataa isi saidiwe na wahisani.
Sasa cha kujiuliza kama nchi ikinyimwa iyo misaada ya maendeleo anaye athililika si mwananchi ambaye Lisu anaomba wamsaidie kumchangia ada za watoto?

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Hao ndiyo waoga wa kukosolewa wa lumumba
1. Ukiwa na maarifa na ufahamu mkubwa Wa kuhoji masuala mbalimbali ƴa nchi na taifa, CCM watasemai wewe si raia, umetumwa, msaliti, unachafua nchi, si mzalendo. Na huongea haya huku wamekunja nyuso zao ƙuashiria kuwa wako tayari kutoa roho watu kisa mnatofautiana mawazo na mitazamo!

In God we Trust
 
Huwezi kuisoma hiyo picha maana akili zako kazishikiria chakubanga
Mimi naona TL akiwa na wazungu wanne akiwa amesimama bila kushikilia magongo. Zaidi hapo sioni.

In God we Trust
 
Roho gani wameitoa ?

Roho ya nani?

Na kwa nini?
1. Ukiwa na maarifa na ufahamu mkubwa Wa kuhoji masuala mbalimbali ƴa nchi na taifa, CCM watasemai wewe si raia, umetumwa, msaliti, unachafua nchi, si mzalendo. Na huongea haya huku wamekunja nyuso zao ƙuashiria kuwa wako tayari kutoa roho watu kisa mnatofautiana mawazo na mitazamo!

wakati ukuta.
 
Huwezi kuisoma hiyo picha maana akili zako kazishikiria chakubanga

In God we Trust
Una matatizo makubwa kichwani kwako kuliko Chakubanga. Mtu kupiga picha na mzungu imekuwa dili kwako. Imbecile!
 
Back
Top Bottom