Je, kuna watu wanaumia juu ya hii picha?

Shida yenu washabiki wa TL mtaka kila anachofanya hata akipiga picha iwe habari. Nyie na wale washabiki wa mpinzani mkuu wa TL hamna tofauti vichwani mwenu.

Ukiwa muabudu Jiwe, akili yako ni ƙusifu na kuabidu Jiwe tu!

Hata ukisema huna upande, ni unafiki tu huo, labda kama hujitambui tu!

Ya hovyo yaseme na uungane na wapinga ɗhuluma. Kwa taarifa ƴako picha huongea mara elfu kuliko maneno!
 
Teeeeeeh Teeeeeeeh Teeeeeeeh Teeeeeeh naona mh Lissu anawachoma
Una matatizo makubwa kichwani kwako kuliko Chakubanga. Mtu kupiga picha na mzungu imekuwa dili kwako. Imbecile!

In God we Trust
 
Heri yetu sisi kuliko nyinyi washabiki wa kichaa
Shida yenu washabiki wa TL mtaka kila anachofanya hata akipiga picha iwe habari. Nyie na wale washabiki wa mpinzani mkuu wa TL hamna tofauti vichwani mwenu.

In God we Trust
 
Ubarikiwe sana mzareendo mwenzetu
Ukiwa muabudu Jiwe, akili yako ni ƙusifu na kuabidu Jiwe tu!

Hata ukisema huna upande, ni unafiki tu huo, labda kama hujitambui tu!

Ya hovyo yaseme na uungane na wapinga ɗhuluma. Kwa taarifa ƴako picha huongea mara elfu kuliko maneno!

In God we Trust
 
Tundu Lissu ni kiboko yenu
Shida yenu washabiki wa TL mtaka kila anachofanya hata akipiga picha iwe habari. Nyie na wale washabiki wa mpinzani mkuu wa TL hamna tofauti vichwani mwenu.
FB_IMG_1550477529716.jpeg

In God we Trust
 
1. Ukiwa na maarifa na ufahamu mkubwa Wa kuhoji masuala mbalimbali ƴa nchi na taifa, CCM watasemai wewe si raia, umetumwa, msaliti, unachafua nchi, si mzalendo. Na huongea haya huku wamekunja nyuso zao ƙuashiria kuwa wako tayari kutoa roho watu kisa mnatofautiana mawazo na mitazamo!
Ndiyo maana Lisu akasema, "Ukiwaangalia utadhani wana akili!!!!"
 
Back
Top Bottom