Je, kuna watu wanaumia juu ya hii picha?

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
95,506
2,000
Hiyo yote ni uchu wa madaraka ili waendelee kutawala kusudi madhambi yao yaendelee kufichwa maana wanajua wakitoka madarakani wataumbuka
Mi najiuliza hivi kwa nini CCM ni watu wenye chuki na wakatlli hivƴo!! Nashindwa kupata jibu!
In God we Trust
 

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
95,506
2,000
Mnapata tabu sana juu Lissu na tayari watu washajitokeza kulipa mishahara yake yote maishani mwake kufuatia mkwara wenu wa kumsitishia mshahara
Kusimama na hao mashoga wazungu ndio nani aumie. Yaani kuna watu wana mentality ya ovyo sana. Au kusimama na hao wazungu ndio unaona issue hata kama lissu anaahidi kuwapa nchi akiwa rais?!
In God we Trust
 

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
95,506
2,000
Juzi tuliambiwa kuwa barabara ya nyakanazi rusahunga imeombewa fedha kutoka kwa wazungu ili itengenezwe
Kusimama na hao mashoga wazungu ndio nani aumie. Yaani kuna watu wana mentality ya ovyo sana. Au kusimama na hao wazungu ndio unaona issue hata kama lissu anaahidi kuwapa nchi akiwa rais?!
In God we Trust
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom